mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 1,018
- 1,541
Tatizo we ushaweka limitation kwamba fundi lazima atoke Arusha.......Bado naona watu wanatoa namba za simu tu badala ya kutoa taarifa ambazo zitanipa uelekeo wa kunishawishi niwape kazi au la.Nafikiri hii pia ni moja ya shida zinazofanya watanzania tushindwe kuwa na ushindani kimataifa.Kwa jinsi nilivytoa taarifa na maelezo hapo juu ina maana tayari kama mtu ni fundi mzoefu ana uwezo wa kuchukua hizo taarifa kuzifanyia kazi na kisha anitafute ama kwa email au pm kisha anieleze kidogo kuhusu kazi yake uzoefu wake na gharama zake ili nifanye mchakato.Naona wengi huku wamezoea ama kupewa kazi kwa kujuana au kuonewa huruma au kupendelewa na sio kwa kuwa competitive.Ila naendelea kusubiri labda atatokea mwenye uelewa achangamkia hii kazi.


