Fundi tiles huyu hakika hafai

Hahahaaaa!!
..............
Hizo tiles zilizosimama ni hatari:confused2:
 
Naomba namba yake,ana tatizo kidogo naweza kumsaidia
 
lakini mimi nimelidhika na kazi yake kama nami anaweza kunifanyia kazi siyo mbaya
 
Fundi hafai kabisa huyo maana kachanganya mpaka rangi hebu tupe no yake tumtafute huyo maana anahitaji kichapo
 
Photoshop.......fundi tiles kakosea hadi nguzo ya kulia ina curves kama alivyo yeye
 
fundi hafai kabisa huyo maana kachanganya mpaka rangi hebu tupe no yake tumtafute huyo maana anahitaji kichapo

uzuri wa hayo ma round figure ni mazuri ukiyaona ndani ya nguo ivo

yakivuliwa kuna ile mikunjo kunjo ya nyama za unene plus strtch marks na cellulite ni shydaahhh

utaanza kutaman fundi tiles kimbau mbau
 
hata huyo anaezikagua hizo tiles angeinama ili azikakague vizuri
 
uzuri wa hayo ma round figure ni mazuri ukiyaona ndani ya nguo ivo

yakivuliwa kuna ile mikunjo kunjo ya nyama za unene plus strtch marks na cellulite ni shydaahhh

utaanza kutaman fundi tiles kimbau mbau

Mwalimu wangu gfsonwin nakubaliana na wewe akiwa hivyo umbo ni zuri sana ila sasa akishafungua mlango uone tiles utatamani ukutane na fundi kimbaumbau
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…