Alikuwa anaishi mwenyewe bila mke/familia? Kama na familia walihojiwa hao members wa familia? kama alone possible kapigwa tanchi.
Alikuwepo nyumbani mpka saa 5 jana baada ya muda ndio akajifungia chumbani kwake na kujinyongaJe ikiwa kama kanyongwa je ?
achana na uyo jamaaAlikuwepo nyumbani mpka saa 5 jana baada ya muda ndio akajifungia chumbani kwake na kujinyonga
Unafaa kulisaidia jeshi katika huo uchunguzi.Alikuwepo nyumbani mpka saa 5 jana baada ya muda ndio akajifungia chumbani kwake na kujinyonga
Ccm wamesabishaKattika hali ya kustaajabisha wengi Fundi.simu Maarufu mkoani morogoro aliyejulikana kwa jina la Rashidi Nyuki mkazi.wa kihonda veta amejiua kwa kujinyonga.
Hakuacha ujumbe wowote polisi wanaendelea na uchunguziView attachment 1709402
Mbona hamvai😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷⁉️⁉️😤
Una fununu kidogo?Japo sijui kisa nini ila nina wasiwasi mwanamke ndiye kahusika na huu mkasa
Mbona wewe haujajinyonga, au sio mwanaumeukisikia mwanaume ndio huyu sasa ukiwa na roho ndogo huwezi kufanya aliyofanya huyu baharia
Hapa kweli jamaa noma.ni binadamu wachache Sana wanaweza hii.mkuu nilikua nasemea Lile tendo la kufikiria na kuyafanyia kazi mawazo yake daah noma sana