Habari za wakati huu?
Natafuta fundi seremala atakaefanya kazi kwenye karakana yetu, anaeweza kutengeneza kazi za mbao pamoja na MDF.
Ofisi ipo Tanga, korogwe... Sehemu ya kulala ipo vifaa vyote vipo ila kama anavyakwake itakua vizuri zaidi. Malipo ni maelewano kwa kila kazi atakayofanya.
Uaminifu ndio kila kitu.
Nicheki 0616 026 368