Umeona?Hii thread watu wanajisifia wizi
Mkuu huwez kujua techniq ,zote coz kila techniq ina techniq yake
Africa ina laana. Watu ni kuibiana tu. Lazima umbane kisomi. Ama sivyo utafanyiwa kazi mbaya. Suluhisho ni kusimamia ujenzi mwenyewe mchana na usiku. Au tafuta mtu mwaminifu asimamie hasa kuhakiki kazi ni imara, ratio za siment ni sawa. Unene wa nondo ni sawa. Pima maji, kobiro, na skwea zipo. Nk.
Exactly,Hawa jamaa dawa yao ni kujenga nao urafiki na kama ikiwezekana hata msosi wapikiehapo kiasi fulani utapunguza mipango ya upigaji,ukisema uwabane sana utapotea maana jamaa wana mbinu nyng za upigaji
Hakika mkuu na pia mafundi ukitaka kwenda nao sawa usioneshe wasiwasi kuhusu wao cha kufanya wewe waaminishe kuwa unawaamini utajikuta mmekuwa marafiki na wataanza kufunguka na utajua tuu michezo yao michafuBinafsi mi hupendelea kufanya kazi na mafundi walevi.
Wasumbufu Sana wakifanyia kazi ofsini kwao.
Ila ukiwapa kazi wakafanyie saiti,
Na kreti la bia au mzinga wa konyagi uko eneo la tukio.
Mtafanya kazi vizuri Sana.
Ni waongeaji mno, matusi, kujisifia ndo jadi yao na kazi itaendelea bila kukuboa msimamizi.
Na wakichoka watalala usingz pale pale saiti.
Nguvu na akili ya kuiba vifaa haitokuepo hapo.
Mkuu huwez kuepuka kupigwaKwani hela wanayotaka kulipwa si wanalipwa. Hawaridhiki nayo. Kwani lazima waiibe ndio watafanikiwa
AhahahahKwenye ishu ya gari nina kijana wangu mmoja tu..Bora upigwe na mtu mmoja unayemjua kuliko kupigwa na kila mtu kamaq shamba la bibi
Kabisa mkuuHakika mkuu na pia mafundi ukitaka kwenda nao sawa usioneshe wasiwasi kuhusu wao cha kufanya wewe waaminishe kuwa unawaamini utajikuta mmekuwa marafiki na wataanza kufunguka na utajua tuu michezo yao michafu
Dah ni changamoto sanaWizi mkubwa ni katika kununua materials na materials yenyewe (hasa kwenye ujenzi). Mara nyingi sana wana collude na wauzaji. Anakwambia kitu fulani twende tukanunue duka fulani....kumbe keshaongea na muuzaji, kaweka cha juu. Ukitaka kununua pengine, utaambiwa huko utauziwa feki au havina ubora anaotaka. Shida sana.
Au hapo hapo dukani kama haupo makini katika kuhesabu pia anakupiga. Amekuandikia anataka idadi x ya vitu, lakini wakati wa kupakia anaongea na mwenye duka apakie (x-y) hiyo y ni pesa ya fundi atakuja kuichukua baadae. Hivyo x-y visipotosha atakwambia vifaa vimeisha muongeze vingine ....inaweza kuwa hiyo y au zaidi.
Na wakiona mjanja kwenye kuhesabu, wanaenda kukupigia site kwako. Umeleta rolls 20 za wire za umeme, wao wanaiba 5, wanatumia 15 kwa kazi yako na zikipelea wanakwambia ukaongeze (na huna namna ya kupima kiwango cha waya kilichotumika).
Wengine ni wabaya zaidi. Unaleta vifaa (say hizo wire) original, yeye anabadilisha anakuwekea feki hizo original zako anauza. Hasa kama hufiki site Mara kwa Mara.
Kwa kweli wana mbinu nyingi sana. Ukikwepa huku, unapigwa kule. Usikimbilie tu fundi wa bei ya chini, mara nyingi wana namna ya kuhakikisha wanapata watakacho. But again, hata mafundi wa gharama wanaweza kuiba pia.
Umakini unahitajika tu ,ukiwa makini fundi hawezi kukuibia wala kukutia hasara unless uwe mweupe kabisa kuhusu ujenzi.
Hawa jamaa wa gereji wanafanya uhuni sanaAnakuwa hajaamua mkuu,chance ya kupigwa na fundi ni 100% mafund gereji ndo mamaster kwenye hii sekta boss analipia gear box million 8
Ahahahah anakuibia mudaLeo siku ya tatu nashinda gareji fundi kaniibia muda wangu na sio kwamba simlipi vizuri no ila tatizo ana kazi nyingi sabab n mbobevu hvyo ili akufanyie kazi yako lazima ubanane nae