Fundi grill na vitanda vya chuma

Fundi grill na vitanda vya chuma

sterter

Member
Joined
May 25, 2015
Posts
94
Reaction score
52
Habari zenu wana Jamii Forum
Sisi ni mafundi wa kutengeza vitanda vya chuma,grill za fance,gate la fance na mageti ya nyumba. Pia tunatengeneza vitanda vya chuma double deck pamoja na single,pia tunafanya kazi za kuchoma stainlesteal pipes kwa kutumia TIG welding.

Ofisi yetu ipo Dar es salaam-Gongo la Mboto,mawasilano ni 0763 9958 18. Photo0108.jpg IMG-20140916-WA0036.jpg
 
Attachments

  • IMG-20171115-WA0015.jpg
    IMG-20171115-WA0015.jpg
    66 KB · Views: 22
  • FB_IMG_15129196224261131.jpg
    FB_IMG_15129196224261131.jpg
    65.3 KB · Views: 25
  • IMG-20191002-WA0003.jpg
    IMG-20191002-WA0003.jpg
    37.7 KB · Views: 29
  • Screenshot_20191216-143707.png
    Screenshot_20191216-143707.png
    128.1 KB · Views: 20
  • 20191216_135256.jpg
    20191216_135256.jpg
    110.6 KB · Views: 25
  • IMG_20170402_213918_090.jpg
    IMG_20170402_213918_090.jpg
    47.4 KB · Views: 35
  • FB_IMG_1484816268248.jpg
    FB_IMG_1484816268248.jpg
    19.6 KB · Views: 28
  • FB_IMG_1493233519912.jpg
    FB_IMG_1493233519912.jpg
    104.4 KB · Views: 31
  • Metal%20Beds_B91N54-m.jpg
    Metal%20Beds_B91N54-m.jpg
    13.8 KB · Views: 38
  • 12750076_1017541278317577_101506408_n.jpg
    12750076_1017541278317577_101506408_n.jpg
    47.5 KB · Views: 30
  • 12424585_1503486369954713_433672925_n.jpg
    12424585_1503486369954713_433672925_n.jpg
    29.6 KB · Views: 26
  • 914356_1537197906593111_1725064215_n.jpg
    914356_1537197906593111_1725064215_n.jpg
    44 KB · Views: 25
  • 12362213_1722411491322637_609298796_n.jpg
    12362213_1722411491322637_609298796_n.jpg
    27.8 KB · Views: 28
Kitanda kama hicho cha 5×6 bei gani

Vitanda vimetofautiana bei kulingana na wingi na aina ya maua,ila kama hicho kinachoonekana hapo ni cha 5feets kwa 6feets bei yake inakuwa Laki tatu na nusu ila discount inakuwepo hata kama utahitahi kitanda kimoja. Karibu.
 
Picha za grill za madirisha ulizotengeneza?
 
Vitanda vimetofautiana bei kulingana na wingi na aina ya maua,ila kama hicho kinachoonekana hapo ni cha 5feets kwa 6feets bei yake inakuwa Laki tatu na nusu ila discount inakuwepo hata kama utahitahi kitanda kimoja. Karibu.

Asante mkuu,nitakaribia
 
Mkuu zipo nyingi sana,kalibu utembelee kwenye Workshop yetu utaona catalogy nyingi sana na unaweza kuvutiwa navyo au ukamshawishi mwingine akafanyiwa kazi.
 
Nahitaji kuweka grili gheto kwangu, bei gani grili na kuweka bei gani? na je nikihama naweza kuhama nalo? mwenye nyumba amegoma kuchangia
 
Samahani sana wanajamii,wakati naweka number ya simu kuna typing error niliifanya nikasahau kuweka vizuri number za simu.
Kwa hiyo basi number ya mawasiliano ni 0763 995 818 Ahsante mkuu kwa kunilekebisha

Pamoja mkuu!
 
Nahitaji kuweka grili gheto kwangu, bei gani grili na kuweka bei gani? na je nikihama naweza kuhama nalo? mwenye nyumba amegoma kuchangia
Mkuu bei ya grill zimetofautiana kulingana na ukubwa wa hiyo grill unayohitaji pamoja na material yanayotumika kutengenezea hiyo grill. Uwezekano wa kutengeza grill la kuhama nalo upo na inawezekana. Kiongozi, you welcome.
 
Samahani sana wanajamii,wakati naweka number ya simu kuna typing error niliifanya nikasahau kuweka vizuri number za simu.
Kwa hiyo basi number ya mawasiliano ni 0763 995 818 Ahsante mkuu kwa kunilekebisha

Edit kwenye thread,

Nenda kwenye tgread yako angalia option ya edit chini, click hiyo option, edit hiyo namba then save.

Marekebisho haya kwenye hii post bado hayatasaidia kwa baadhi ya wahitaji!
 
Edit kwenye thread,

Nenda kwenye tgread yako angalia option ya edit chini, click hiyo option, edit hiyo namba then save.

Marekebisho haya kwenye hii post bado hayatasaidia kwa baadhi ya wahitaji!
Ahsante sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom