Fundi grill na vitanda vya chuma

Fundi grill na vitanda vya chuma

Grill za fance aina gani? Nina viwanja nataka kuzungushia fance ya waya je hii huduma mnafanya? Nina viwanja 2 vinahitaji hii huduma.
 
Mkuu bei ya grill zimetofautiana kulingana na ukubwa wa hiyo grill unayohitaji pamoja na material yanayotumika kutengenezea hiyo grill. Uwezekano wa kutengeza grill la kuhama nalo upo na inawezekana. Kiongozi, you welcome.

Mlango wa kawaida tu vyumba vya kupanga na material ya kawaida, nipe bei tofauti tofauti.
 
Grill za fance aina gani? Nina viwanja nataka kuzungushia fance ya waya je hii huduma mnafanya? Nina viwanja 2 vinahitaji hii huduma.
Grill za fance nazozungumzia ni ukuta uliojengwa kuzunguka nyumba au eneo lolote alafu ukuta huo unakuwa na nafasi kama zakuweka madilisha,sasa zile nafasi zilizoachwa wazi ndizo tunazitengenezea grill.
Kuhusu kuzungushia wire kwenye viwanja bado hiyo hatujaiweka kwenye schedule ya kazi zetu,na ni kwa sababu demand ni ndogo uhitaji wa watu kufanyiwa hizo kazi ni ndogo.
Karibu sana. Ila nipo hewani muda wote tunaweza kuwasiliana tukaona ni jinsi gani naweza kukusaidia ukafanikisha hiyo kazi yako. Ahsante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom