Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

Mechi zote ligi kubwa wikiendi hii
 
Reactions: Lee
Mkuu naswali

1: je mechi zote muhimu hawa Canal+ wanaonesha?

2: kuna urahisi wakutuma pesa kwaajili ya kulipia ving'amuzi hivi? na je malipo ya mwezi ni 45 au?

3: canal+ english imetoka nasikia, je inapatikana Tanzania
1. Ndio mechi zote muhimu na kubwa huwa zinaoneshwa

2. Tunalipia na kufungua dekoda chini ya dakika 7

3. Sio kweli Canal+ ya lugha Kiingereza bado haijatoka, ila kuna channel za mpira ziliongezwa kwenye decoder zinazotangaza mpira kwa lugha ya Kiingereza kwa kifurushi kikubwa
 
Shukran mkuu tutafanya biashara
 
Ratiba ya Premier League na Bundesliga wikiendi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…