Fun thread: Wavaa kobaz vs wayahudi wa bonyokwa

Fun thread: Wavaa kobaz vs wayahudi wa bonyokwa

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,236
Huu sio uzi wa chuki wala kejeli, ni namna ya kutazama haya makundi mawili hapa jamiiforums ambayo, wao huwa wanaangalia kigezo cha dini tu, yani yuko radhi usiku aite mchana ili kutetea upande wake.

Ukichukulia haya mambo serious unaweza kuumwa kichwa, haya makundi ni special na sio ya kuyapa manani. Unaweza ukajawa na chuki kumbe maiaha mtaani ni tofauti kabisa

Sema wayahudi wa bonyokwa wanamatusi sana, tusi kubwa la wavaa kobazi ni “kafiri”

All in all usichukulie maneno ya humu hasa ya dini serious, usijeleta udini mtaani, have fun, we all gona die one day
 
Back
Top Bottom