Fumbo hili la kuku lina maana gani nyumbani kwangu?

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,569
Reaction score
21,075
Mwaka Jana mwezi wa kumi nilinunua kuku wa kienyeji ili niwafuge kwenye nyumba yangu ambayo haijaisha vizuri huko Boko, Chasimba.

Nilikuwa na kuku saba broiler na wawili wa kienyeji, dume na jike.
dume a.k.a jogoo alikuwa mwekundu, na Yule jike alikuwa mweupe mwenye mabaka mekundu.

Broiler watatu wakaibiwa, waliobaki nikawala. Hawa kuku wa kienyeji alianza jogoo kutoroka, sikumpata tena. Jike naye akatoroka.

Kuna siku nikaota ndoto nimerudi nyumbani nimekuta nyumba imejaa makuku na mambwa, nikawatinua makuku na.majibwa yote, akabakia kuku mmoja, nikamchinja, mademu zangu wawili wakawa wanamuandaa.

Basi wenye kuku wakaja home kudai kuku wao. Wakaniambia wao ni wachawi na huyo niliyemchinja ni kuku wa mizimu. Natakiwa nilipe, Ila cha kulipa nitaambiwa na mizimu ya nyuki wa Tabora. Ninashituka usingizini.

Jana nimerudi nyumbani, nimekuta kuku jike aliyokuwa ametoweka miezi mingi iliyopita yamerudi bandani, Ila sasa amekuwa na madoa ya rangi nyeusi, na Banda lilikuwa limefungwa, nimepigwa na butwaa
 
Ukiambiwa watu hupata ishara yanayokuja kupitia ulimwengu wa roho watu wanakuwa wabishi. Nikitulia nitatafsiri maana ya ndoto yako. Ipo wazi kabisa
 
Huyo usimle wala kuendelea kumfuga. Ni bora ukamtoa nje aende alikokuwa.
 
Mwaka Jana mwezi wa kumi nilinunua kuku wa kienyeji ili niwafuge kwenye nyumba yangu ambayo haijaisha vizuri huko Boko, Chasimba.

Nilikuwa na kuku saba broiler na wawili wa kienyeji, dume na jike.
dume a.k.a jogoo alikuwa mwekundu, na Yule jike alikuwa mweupe mwenye mabaka mekundu.

Broiler watatu wakaibiwa, waliobaki nikawala. Hawa kuku wa kienyeji alianza jogoo kutoroka, sikumpata tena. Jike naye akatoroka.

Kuna siku nikaota ndoto nimerudi nyumbani nimekuta nyumba imejaa makuku na mambwa, nikawatinua makuku na.majibwa yote, akabakia kuku mmoja, nikamchinja, mademu zangu wawili wakawa wanamuandaa.

Basi wenye kuku wakaja home kudai kuku wao. Wakaniambia wao ni wachawi na huyo niliyemchinja ni kuku wa mizimu. Natakiwa nilipe, Ila cha kulipa nitaambiwa na mizimu ya nyuki wa Tabora. Ninashituka usingizini.

Jana nimerudi nyumbani, nimekuta kuku jike aliyokuwa ametoweka miezi mingi iliyopita yamerudi bandani, Ila sasa amekuwa na madoa ya rangi nyeusi, na Banda lilikuwa limefungwa, nimepigwa na butwaa
Tafsiri yake kuna mwanamke utamoa mimba bila kujua,itapita miaka mingi ndipo hamad! siku moja utamkuta mwanao sebuleni kwako
 
Haina maana hiyo ndoto achana nayo...fuga kuku usieke broiler af wachache..kuwa na jogoo machotara watatu kisha nunua Makoo hata 10.. Mimi ni mfugaji mzuri sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom