MK254 JF-Expert Member May 11, 2013 32,238 50,404 Feb 2, 2016 #1 Nilikua na shillingi 50Kshs na nikazitumia kama ifuatavyo Matumizi -- Salio 20 ------ 30 15 ------ 15 9 ------ 6 6 ------ 0 ------------------ 50 ------- 51 Sasa sielewi hiyo shilingi moja ilikotoka.
Nilikua na shillingi 50Kshs na nikazitumia kama ifuatavyo Matumizi -- Salio 20 ------ 30 15 ------ 15 9 ------ 6 6 ------ 0 ------------------ 50 ------- 51 Sasa sielewi hiyo shilingi moja ilikotoka.
Raimundo JF-Expert Member May 23, 2009 13,416 12,611 Feb 2, 2016 #2 Sasa hela ni zako na wewe ndo umetumia, sisi tutaelewaje ulikoitoa hiyo nyingine?
lady mmarangu JF-Expert Member Dec 7, 2015 306 165 Feb 5, 2016 #3 Acha uwehu pesa zako unataka tujue hiyo sh 1 umeipata wapi?
nzalendo JF-Expert Member May 26, 2009 11,726 12,006 Feb 25, 2016 #5 Hesabu inaanza na 0 Hivyo basi ili Ku BALANCE inakubidi utoe 1........ Kwa Mfano kama umezaliwa mwaka 2006 mwaka 2016 utafikisha miaka 10 na sio 11.
Hesabu inaanza na 0 Hivyo basi ili Ku BALANCE inakubidi utoe 1........ Kwa Mfano kama umezaliwa mwaka 2006 mwaka 2016 utafikisha miaka 10 na sio 11.