CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,824
- 15,878
Katika hali isiyo ya kawaida, Jamii imeaminishwa kuwa kama Yanga atashinda mchezo wa Jmosi dhidi ya Simba basi itakuwa ni mara ya kwanza kwa hawa Watani mmoja kufungwa mara 4 mfululizo.
Lakini Historia inaonesha Simba amewahi kuchapika mara 5 mfululizo bila sare yoyote ile na hapo game 1 Simba waliweka mpira kwapani ambapo inakuwa game ya 6 kuchapika.
Mechi hizi ni kama ifuatavyo.
1. 20/10/1990
Yanga 3-1 Simba
️ Makumbi Juma
️ Kipese
️ Sanifu Lazaro
Simba (
️ Chumila)
2. 18/5/1991
Yanga 1-0 Simba
️ Said Sued.
3. 31/08/1991
Yanga 1-0
️ Said Sued Scud
4. 9/10/1991
Yanga 2-0 Simba
️ Athman China
️ Abubakar Sure Boy
5. 13/11/1991
Yanga 2-0 Simba (Simba waliweka mpira kwapani)
6. 12/4/1992
Yanga 1-0 Simba
️ Kenneth Mkapa
Kama kuna mtu anaona naongopa aweke Rekodi na matokeo ya hizo game na kama kuna game yoyote katika kipindi hilo Simba aliwahi kutoa Sare.