Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,404
- 15,873
mtu mzima atazikwa na Myakubanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya ugali wa moto na wachaga, nani anatoka moshi?Ongezeni mafumbo.
Nitajie neno la kiswahili lenye herufi tano,ambalo kila ukitoa herufi toka kulia unapata neno lingine la kiswahili lenye maana.
ONDOA
NDOA
DOA
OA
A
Kitambo nilichemshwa sana na hili neno
Kuni zinatoka moshiKati ya ugali wa moto na wachaga, nani anatoka moshi?
JichoNi sehemu gani ya mwili wa mwanaume ambayo ni laini, imezungukwa na nywele, inakiungo kinachoweza kuelekezwa upande wowote ule na ikikerwa au kuchezewa hutoa majimaji yanayotiririka?
Mbele ya kuku kuna kuku na nyuma ya kuku kuna kuku wapo kuku wangapi
Anaitwa tatuMama Yang mimi anawatoto wa 3 wakwnz ni juma na pili uledi je watatu