Fumanizi

Last edited by a moderator:
Utaloga wangapi???ukiona hivyo ujue hujiamin

Hata ikibidi elfu.... ntaloga tu. Kwako wewe acha tu nisijiamini.... Mtoto umeumbwa wakati Mungu akifanya birthday party yake. Hivi unaendaga toilet kweli wewe? Lazima utakuwa unaachia madini wallah..... harufu ya perfume!!
 
Uwiiiiiiii...basi usiendeleee nisije maliza majani yote kwenye mti...maana unanisifia mpaka naona nyota..hivi tupo peponi au???
 
Uwiiiiiiii...basi usiendeleee nisije maliza majani yote kwenye mti...maana unanisifia mpaka naona nyota..hivi tupo peponi au???
Basi fanya uwezalo malaika wa duniani, niweze kusikia joto la chuchu zako kwenye kifua changu. Ntakuwa ni mwanaume mwenye bahati kuliko King Mswati....... Hivi mamaako alifanyaje akakuzaa mtoto mzuri kuliko Cleopatra?
 
Mtoa uz nakuunga mkono na miguu pia mm cwz kujiaibisha kamwe achepuke nikichoka na hlka zake nitaondoka no kufumaniana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…