Fumanizi

Mi nafikiri hakuna aibu ya mtu mmoja katika fumanizi. Mwanaume ukimfumania mkeo nawe unapata aibu pia. Na hivyo vivo kwa mwanamke. Kama mmeshindwana ni bora kila mmoja na hamsini zake kuliko kuaibishana.
 
Kama alitoa kauli kanisani mbele ya watu bila kushinikizwa na mtu basi na fumaniz mbele za watu ndo litanoga
 

Umefumaniwa nini!! mimi nafikiri hiyo tu haitoshi..., ikiwezekana katakata hiyo kitu yake kuliko kuleteana maradhi kwenye ndoa.
 
Kuna watu wanachangia hili swala la fumanizi as a joke, hili ni jambo lonaweza kumtokea mtu yeyote bila kutegemea, unaweza kukutana na me au ke mkatongozana na mkawa mmefichana mahusiano yenu mengine either umeoa au umeolewa, na hili lipo sana tu watu kufichana mahusiano yao mengine, siku ikitokea mkafumaniwa inakua bad sana, tujaribu kuwa wakweli katika mahusiano, me naogopa sana mke wa mtu.
 
Juzi sijalala nilikuwa guest house nilopofikia kikazi alikuja dada mmoja kufumania ukweli tuliamka nakuanza kumshambulia kwa maneno na makofi akaamua kuondoka nasisi tukapata kulala. Nlikerwa sana na kitendo hicho.
 
We ntadili na wewe coz wajua we mme wam2 kwanini ukubali chepuka? demu mie stadili naye coz wewe huna bandiko linalo onyesha umeoa ila wewe ndo wajua
kwahiyo na we ukinifumania utanipiga mimi!?? sio ukazane na huyo mdada, bila ye mi nsingechepuka
 
Hapa ukikomenti bila experience inabaki wishful thinking...

Maana kumdhalilisha mume ni cha mtoto...

watu hutamani kuchukua bastora kuwatwanga watu risasi...

Ongeeni tu tokana na matukio ya wengine...

Yakikukuta ndio utajua kuwa akili kazi yake ni kuwaza au kufikiri...
 

so in short watu wagegedane kwa heshima.....lol
 
Hao huwa siwaelewi mtu utasimamishaje mshedede na kumwinamisha mwenzio
 

nakubaliana na wewe kwa asilimia 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…