Fumanizi

Fumanizi

Huyo ---- aliechezea kichapo hakua na hata na kapisto? Wewe, Jamaa zako na huyo Shem Changu mngejuta kujipendekeza kwenye anga za watu!
 
Jamaa mbona anadai anajituma sana muda mrefu tu kwa lengo pia la kupata Mtoto wa 2 lakini hakuna kitu! Siyo tamaa kweli??!.

kama wa1 anafanana nae aongeze bidii!
 
Ma..ya ni ma..ya tu. Huu ni ukweli kila mtu anajaribu kukwepa. Tangu lini mtu mzima abadili tabia?
 
Jamaa mbona anadai anajituma sana muda mrefu tu kwa lengo pia la kupata Mtoto wa 2 lakini hakuna kitu! Siyo tamaa kweli??!.

Ma..ya ni ma..ya tu. Huu ni ukweli kila mtu anajaribu kukwepa. Tangu lini mtu mzima abadili tabia?
 
Jamaa mbona anadai anajituma sana muda mrefu tu kwa lengo pia la kupata Mtoto wa 2 lakini hakuna kitu! Siyo tamaa kweli??!.

Kwani kama hajitumi atasema? Unategemea aseme yeye ni dhaifu? Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza!
 
Hivi nkimchukua mkeo nawe utareact kama huyo jamaa aliyefumania kijinga? Ukijua tu kuwa nimemchukua itakubidi unipigie kwanza simu nikushauri mambo kadhaa

Sanasana nakuachia!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom