CUTE JF-Expert Member Joined Mar 5, 2012 Posts 1,229 Reaction score 592 Oct 9, 2012 #61 Mafuluto said: ...fumanizi la nguvu lipo wapi ?? Click to expand... hujaliona hapo babu alipombamba sista du akimmezea mate mjukuu wake jamani lol!
Mafuluto said: ...fumanizi la nguvu lipo wapi ?? Click to expand... hujaliona hapo babu alipombamba sista du akimmezea mate mjukuu wake jamani lol!
Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,252 Reaction score 11,653 Oct 9, 2012 Thread starter #62 CUTE said: ungemuacha dogo asalimiane na sista du wawatu hata dk 2 Click to expand... Sina hakika kama dogo mwenyewe aliona hilo tukio...but, sikuwa na sababu ya kumzuia kama angeomba nimsubiri afungue file la kesi!! Babu DC!!
CUTE said: ungemuacha dogo asalimiane na sista du wawatu hata dk 2 Click to expand... Sina hakika kama dogo mwenyewe aliona hilo tukio...but, sikuwa na sababu ya kumzuia kama angeomba nimsubiri afungue file la kesi!! Babu DC!!
CUTE JF-Expert Member Joined Mar 5, 2012 Posts 1,229 Reaction score 592 Oct 9, 2012 #63 Dark City said: Sina hakika kama dogo mwenyewe aliona hilo tukio...but, sikuwa na sababu ya kumzuia kama angeomba nimsubiri afungue file la kesi!! Babu DC!! Click to expand... kesho mkirudi kwa boss muachie mwanya huo
Dark City said: Sina hakika kama dogo mwenyewe aliona hilo tukio...but, sikuwa na sababu ya kumzuia kama angeomba nimsubiri afungue file la kesi!! Babu DC!! Click to expand... kesho mkirudi kwa boss muachie mwanya huo
Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,252 Reaction score 11,653 Oct 9, 2012 Thread starter #64 CUTE said: mpeleke eneo la tukio kesho mkienda kumuona boss akalione again Click to expand... Leo kaenda peke yake...I wish I could ask him kama kakumbana na ile magic smile au la!! Babu DC!!
CUTE said: mpeleke eneo la tukio kesho mkienda kumuona boss akalione again Click to expand... Leo kaenda peke yake...I wish I could ask him kama kakumbana na ile magic smile au la!! Babu DC!!
Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,252 Reaction score 11,653 Oct 9, 2012 Thread starter #65 CUTE said: hujaliona hapo babu alipombamba sista du akimmezea mate mjukuu wake jamani lol! Click to expand... Nahisi jamaa alitegemea kuona picha kama zile za jukwaa la mwisho....lol!!
CUTE said: hujaliona hapo babu alipombamba sista du akimmezea mate mjukuu wake jamani lol! Click to expand... Nahisi jamaa alitegemea kuona picha kama zile za jukwaa la mwisho....lol!!