nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
King'assti "sijakimbiza ' wengi kwa kuwa self esteem nilo nayo hainiruhusu kufanya hivo. Ndio maana nikasema kama situation ni critical na walk away. Na fight kwa kuwa najua ni worth doing.
Mwenzako ni huyo unayeishi nae huko kwako mamii. Mnaogeshana na kufuliana kufuli. Sasa utakimbiza wangapi? Nakubaliana na gfsonwin, kufanya maamuzi magumu mtindo mmoja. Mara ukapigwe chupa ya pua bureee uharibu sura yako nzuri. Akhuuu, sigombei mtoto wa mwanamke mwenzangu mie! Tukishindwana kila mtu achukue 50 zake, kama ni in house ama outdorr kitajulikana hapoo.