Fumanizi: Kwanini wanawake hupenda kuwalaumu wanawake wenzao?

Hizi ndoa hizi balaa tupu..
Ndio maana MwanaFA alisema 'ukitaka wakwako pekee yako labda umuumbe mwenyewe'...lol!
Umenifikirisha mbali aiseee..
Ila kwa nini ulimshauri hivi gfsonwin ???

honestly maisha ya ndoa kama mtu hakuheshim na wewe nenda hivyo hivyo yaani hakunaga mbadala lol! ukaksi ukaksi tu kwan nni bana? niliumizwa sana na tabia ya mumewe na binti alifikia hatua ya kupaa uchizi miez 4 hakuna kugusana na mr wafikir nyege zake apeleke wapi? dildo ikawa haimnogei tena afanyeje/ mwach atafute liscrepa limkune maisha yasonge mbele atii.
 
Ntakuja kusoma baadae natoka kidogo.

Nadhani hiyo ni nature na hatuwezi kushindana na nature...SIsi wanawake ni protective hata kwa watoto wetu.

Mimi mwenyewe siwezi kumkalia kimya mdada naejua anasarandia penzi langu. Ila tofauti yangu kidogo ni kuwa hata home lazima KINUKE.Lol. Nagombana na wote.

Hata ukijaribu kunibadili au kutubadili vipi ni impossible..we are from where vile, Mars or Jupiter?
hii mimi siikubali kabisaaaaaaaaaaaaaaaa. huyo mwingine hanihusu hata kidogo, kwa nini nijishushe kiasi cha kugombana na mwizi? atajidai sana, yaani ni kama nimeona yeye ni zaidi kwangu...................... no, hatakuja kunisikia hata sms simtumii. nitagombana na huyu aliyeniweka ndani, akaniacha hapo na kwenda kujidhalilisha huko nje
 
Siku hizi tumeshakuwa na akili, hatugombani wanawake. Ukishindwa kufuga mbwa/paka wako, akaenda kula jalala la jirani unaenda kumshukuru jirani kwa kukulishia. Unamuuliza akijaga huku anakula zaidi ukoko, ama ugali?

M'dingi nakutakia sikukuu njema

why-men-cheat-4.jpg

Mwanangu King'asti acha uongo, mbona niliwahi kukufuma uko bize unapekua Jinzi ya mkwe wangu...... bisha..? LOL
 
Last edited by a moderator:
Ndio survival technique baba, hehehe! Mwaka huu mtajipanga! Nani aende kuparangana na makahaba akwaruliwe sura?
Hivi hii ya 'mwaga mboga nimwage ugali' inalipa eeh??
Manake naona wanawake wengi wanashauriana sana kuhusu hii kitu..
 
Well said Mtambuzi
Hasa kwenye shabaha dhaifu naona wengi wanaangukia hapo!
Nina case ya shemeji yangu mumewe ni mwalimu wa chuo..kuna siku alitinga class kwa mumewe kupiga biti vibinti vyote vinavyomsalandia mumewe..Nilivyomuuliza alisema..'siwezi kumzuia mumewangu kufanya so, nimeamua kudhibiti upande ninaouweza'
ha haaaaaaaaaaaaaaa, huu ni ukichaa.
tena vibinti vyetu hivi ambavyo vipo chuo, mbona alijichora tu, vinasikiliza la mtu? hapo wa kuongea naye ni mumewe. sasa atapiga biti mabinti wangapi? sipati picha, kila darasa analopangiwa mumuwe anaenda kupiga biti, na rafiki yake akimwomba amshikie darasa kwa wiki 2 anaenda kupiga biti, lol!
 
SnowBall ni kweli mkuu, lakini najua kuna wanawake watakuja hapa na kubisha wakidai kwamba wao ni ngangari na wakigundua kuwa waume zao wanatoka nje kinanuka kuanzia home mpaka mtaa wa pili............
Kumbe hakuna lolote, wengi hukimbilia shabaha dhaifu..................................LOL
Mimi ni mmoja wapo Mtambuzi, ila mimi upande wa pili siugusi kabisaaaaaaaaaaaaaa na sioni sababu ya kufanya hivyo
 
Last edited by a moderator:
honestly maisha ya ndoa kama mtu hakuheshim na wewe nenda hivyo hivyo yaani hakunaga mbadala lol! ukaksi ukaksi tu kwan nni bana? niliumizwa sana na tabia ya mumewe na binti alifikia hatua ya kupaa uchizi miez 4 hakuna kugusana na mr wafikir nyege zake apeleke wapi? dildo ikawa haimnogei tena afanyeje/ mwach atafute liscrepa limkune maisha yasonge mbele atii.

Sasa mke akinogewa na liscrepa anaweza vipi tena kumkumbuka mumewake hata kama mume ataamua kuretreat?
Manake inaweza kuwa ile ya kuvunja biskuti kwa nyundo....au kuosha kidonda kwa chumvi!!
Binafsi siamini sana kama dawa ya kumkomesha cheater ni kuwa cheater zaidi yake..
Japo pia to some extent inarudisha heshima ya ndoa..but inaweza kuleta sononeko zaidi endapo utagundua kuwa kumbe hata 'cheater' mwenzio sio mwaminifu..just like a vicious circle flani!!!!
 
url

gfsonwin, nimeipenda hii.... "honestly maisha ya ndoa kama mtu hakuheshim na wewe nenda hivyo hivyo yaani hakunaga mbadala lol! ukaksi ukaksi tu kwan nni bana?"

Last edited by a moderator:
ha haaaaaaaaaaaaaaa, huu ni ukichaa.
tena vibinti vyetu hivi ambavyo vipo chuo, mbona alijichora tu, vinasikiliza la mtu? hapo wa kuongea naye ni mumewe. sasa atapiga biti mabinti wangapi? sipati picha, kila darasa analopangiwa mumuwe anaenda kupiga biti, na rafiki yake akimwomba amshikie darasa kwa wiki 2 anaenda kupiga biti, lol!

Wivu mama..
Naona ilikuwa kama assignment flani!!
 
Sasa mke akinogewa na liscrepa anaweza vipi tena kumkumbuka mumewake hata kama mume ataamua kuretreat?
Manake inaweza kuwa ile ya kuvunja biskuti kwa nyundo....au kuosha kidonda kwa chumvi!!
Binafsi siamini sana kama dawa ya kumkomesha cheater ni kuwa cheater zaidi yake..
Japo pia to some extent inarudisha heshima ya ndoa..but inaweza kuleta sononeko zaidi endapo utagundua kuwa kumbe hata 'cheater' mwenzio sio mwaminifu..just like a vicious circle flani!!!!

usiniquote tafadhali mwanamke mjaanja humkamati hata siku moja kwani njia zake ni makin kweli na hatetereki nyumbani. siwez kua nacheat halafu eti kabla ya kupanga strategy nzuri.

siku hizi cm mtu ananunua cm ya ofcn tu na anaiekea line anasajili kwa jina lake matumizi ni kwa screpa wake tu basi. no sms zaid ya kupiga. kukutana ni mara moja kwa mwez na siyo maeneo yakaribu bali mbali na siku hiyo simu zinakuwa hewan muda wote. mtu anavuta raha kisha anarud kimya kimya. sipand gari yako na wala siji na ya kwangu tax ndo kazi yake. inakupeleka na kukurudisha unazingatia muda wa kuwepo home umekuwepo wafikir hadi akugundue ni leo?
 
Wivu mama..
Naona ilikuwa kama assignment flani!!
hakuna cha wivu wala nini, ni ukichaa tu. hebu jiulize ukianza kuchimba biti kwa wadada utachimba wangapi? ofisini, darasani, kanisani/msikitini, bar, mtaani,..................... si mwisho unapelekwa milembe?
kazi rahisi ni ku-deal na mtu mmoja, tena unamuona kila siku
 
hahahaha..
Vipi kama ungetuletea lithread la 'how to cheat without being noticed'? bila kujali ke wala me!
As long there are so many cheaters around here..ungesaidia sana......lol!
 
usiniquote tafadhali mwanamke mjaanja humkamati hata siku moja kwani njia zake ni makin kweli na hatetereki nyumbani. siwez kua nacheat halafu eti kabla ya kupanga strategy nzuri.

siku hizi cm mtu ananunua cm ya ofcn tu na anaiekea line anasajili kwa jina lake matumizi ni kwa screpa wake tu basi. no sms zaid ya kupiga. kukutana ni mara moja kwa mwez na siyo maeneo yakaribu bali mbali na siku hiyo simu zinakuwa hewan muda wote. mtu anavuta raha kisha anarud kimya kimya. sipand gari yako na wala siji na ya kwangu tax ndo kazi yake. inakupeleka na kukurudisha unazingatia muda wa kuwepo home umekuwepo wafikir hadi akugundue ni leo?

Hii inaweza kuoana na hii:

https://www.jamiiforums.com/mahusia...otoka-nje-ya-ndoa-kwa-fedha-hawafumaniwi.html
 
hakuna cha wivu wala nini, ni ukichaa tu. hebu jiulize ukianza kuchimba biti kwa wadada utachimba wangapi? ofisini, darasani, kanisani/msikitini, bar, mtaani,..................... si mwisho unapelekwa milembe?
kazi rahisi ni ku-deal na mtu mmoja, tena unamuona kila siku

Actually alichojaribu kusema Mtambuzi ni kuwa kuna wanawake wengi ambao huwaona waume zao kama hawana makosa. They consider their men as helpless persons when comes to girls. In that sense wao wanaona kuwa njia nzuri ya kudeal na tatizo ni counter the opposite side. Kwa mantiki hii sio lazima mwanamke aende ofisini au kupiga biti darasa as kwa mfano niliotoa but the point was to argue for that side..

Kama wewe unadeal na your guy it also sounds good...cuz so many women have failed to do so..na hata kama watadeal na watu wao naonaga lazima wamtafute pia na the alleged cheater on the other side..in this case a women!
 
Kupekua napekua sana baba, hasa kwa ajili ya kufua (namdekeza, si ndo first born?). Na simu yake nachungulia mbele yake, anajua kabisaaa na anawaambia huko huko msitume msg king'asti wangu mkali. Ila nikikuta siwezi kumuuliza mwanamke mwingine kuhusu l'aziz wangu. Manake yeye kadanganywa kama mie. Siajabu aliambiwa nime-RIP!
why-men-cheat-4.jpg

Mwanangu King'asti acha uongo, mbona niliwahi kukufuma uko bize unapekua Jinzi ya mkwe wangu...... bisha..? LOL
 
Last edited by a moderator:
Actually alichojaribu kusema Mtambuzi ni kuwa kuna wanawake wengi ambao huwaona waume zao kama hawana makosa. They consider their men as helpless persons when comes to girls. In that sense wao wanaona kuwa njia nzuri ya kudeal na tatizo ni counter the opposite side. Kwa mantiki hii sio lazima mwanamke aende ofisini au kupiga biti darasa as kwa mfano niliotoa but the point was to argue for that side..

Kama wewe unadeal na your guy it also sounds good...cuz so many women have failed to do so..na hata kama watadeal na watu wao naonaga lazima wamtafute pia na the alleged cheater on the other side..in this case a women!
hawana makosa? hii ina maana gani? walitongozwa? labda wanajua kuwa hao wanaume zao hawawezi kutongoza, i.e. hata wao waliwatongoza. ila kama mtu aliweza kukutongoza, na labda ilichukua muda mrefu sana kukufwatilia, alifanya mbinu zoooote mpaka akakupata, sasa hivi utaonaje hawezi kufanya hivyo kwa mdada mwingine na mwingine?
 
Kupekua napekua sana baba, hasa kwa ajili ya kufua (namdekeza, si ndo first born?). Na simu yake nachungulia mbele yake, anajua kabisaaa na anawaambia huko huko msitume msg king'asti wangu mkali. Ila nikikuta siwezi kumuuliza mwanamke mwingine kuhusu l'aziz wangu. Manake yeye kadanganywa kama mie. Siajabu aliambiwa nime-RIP!
tena tunasingiziwa mengi kweli huko nje. nini ume-RIP? yaani ukiwasikiliza wababa wanaofwatilia watoto huko nje utazimia............................ ndo maana mimi naamini kabisa makosa ni yao, ndo maana nta-deal naye yeye tu
 
hawana makosa? hii ina maana gani? walitongozwa? labda wanajua kuwa hao wanaume zao hawawezi kutongoza, i.e. hata wao waliwatongoza. ila kama mtu aliweza kukutongoza, na labda ilichukua muda mrefu sana kukufwatilia, alifanya mbinu zoooote mpaka akakupata, sasa hivi utaonaje hawezi kufanya hivyo kwa mdada mwingine na mwingine?

...Hiyo ni kwa sababu wakati mwingine mwanawake hutokea kumuamini mwenzi wake kupita kiasi, hivyo kutotaka kuruhusu mawazo ya aina hiyo yatawale kichwa chake. Hivyo basi kuwalaumu wanawake wenzao ni rahisi zaidi kuliko kujikagua na kuangalia kama mahusiano yake na mwenzi wake iwapo yana tatizo. Lakini kinyume chake huamini kwamba ni lazima mwanamke huyo ndiye aliyemshawishi mwenzi wake mpaka akakubali kutoka naye. Pia huamini kwamba kama mwanamke huyo asingejirahisisha kwa mwenzi wake, isingekuwa ni rahisi kwake kutongozwa na kukubali, ni lazima kulikuwa na aina ya kujirahisisha ili kumshawishi mwenzi wake atoke naye...
 
ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, ngoja nicheke tu hapo kwenye RED, naomba nisiliongelee zaidi hilo
 
Back
Top Bottom