Fumanizi: Kwanini wanawake hupenda kuwalaumu wanawake wenzao?

King'assti "sijakimbiza ' wengi kwa kuwa self esteem nilo nayo hainiruhusu kufanya hivo. Ndio maana nikasema kama situation ni critical na walk away. Na fight kwa kuwa najua ni worth doing.

Mwenzako ni huyo unayeishi nae huko kwako mamii. Mnaogeshana na kufuliana kufuli. Sasa utakimbiza wangapi? Nakubaliana na gfsonwin, kufanya maamuzi magumu mtindo mmoja. Mara ukapigwe chupa ya pua bureee uharibu sura yako nzuri. Akhuuu, sigombei mtoto wa mwanamke mwenzangu mie! Tukishindwana kila mtu achukue 50 zake, kama ni in house ama outdorr kitajulikana hapoo.
 
Ulishawahi kuona mwizi anarudishia kisago???

Anyway..tukiongelea ku fight tunaongelea katika broader sense..si lazima iwe physical.

Best, ulishawahi kujipatia picha unadundwa na mwizi wako? Ama unamfumania mkeo, afu yeye na huyo mgoni wako wanakuchangia kukudunda? Hata kama utamuacha/taliki, still umedhalilika.
 
King'assti "sijakimbiza ' wengi kwa kuwa self esteem nilo nayo hainiruhusu kufanya hivo. Ndio maana nikasema kama situation ni critical na walk away. Na fight kwa kuwa najua ni worth doing.

Pata picha drama queen kama wema sepetu kamdaka mumeo! I mean, kuna levels you cant reduce yourself to, huh?
Utapambana na mwanamke muuza utupu mwenzio she has nothing to loose akiachia mumeo kiti cha basi anapanda abiria mwingine. Lol, tafuta chimbuko la tatizo lenu. Muulize mumeo ana shida gani. Tolerate kwa kiasi ikishindikana chagua kusuka, kunyoa amd kupaka nywele samli:croc:
 
Ulishawahi kuona mwizi anarudishia kisago???

Anyway..tukiongelea ku fight tunaongelea katika broader sense..si lazima iwe physical.

Hahaha, wezimwa siku hizi ukiita mwizi nae anaita mwiziiiii!
Aisee, mie nishaona mtu anapigwa na mumewe kisa kampigia hawara simu akamtukana. Na kuna wanaochangiwa na mume na hawara! What people tolarate in marriages nahisi hadi shetwani anashangaa!

Hapo tunakubaliana, i wont get physical even with a cheating husband. So phyiscal confrontations is not on the menu.
ila hata kumuuliza mtu nitauliza kirafiki ama while ridiculing her if i have to.
 
Sijui na mie nifanye experiment ili nijue inavyokuwaga...... sijawahi kuona reaction ya mama Ngina kwa kesi za namna hii....... LOL
 
Akifikia kuchukua kama Wema hata mdomo sifungui kumuuliza...atakuta nyumba tupu. Ndio maana nasema kila mtu ana standards alizojiwekea.

Pata picha drama queen kama wema sepetu kamdaka mumeo! I mean, kuna levels you cant reduce yourself to, huh?
Utapambana na mwanamke muuza utupu mwenzio she has nothing to loose akiachia mumeo kiti cha basi anapanda abiria mwingine. Lol, tafuta chimbuko la tatizo lenu. Muulize mumeo ana shida gani. Tolerate kwa kiasi ikishindikana chagua kusuka, kunyoa amd kupaka nywele samli:croc:
 
Ujanipata vizuri King'asti

Wakati mwingine tunalianzisha ili tujue ranking zetu...sasa mume anaekupa kisago sababu ya kimada bado unamuhita mumeo???

Nataka anipe hicho kisago ili aone kama ataniona tena nyumbani kwake...nini kisago hata akinigombeza kwa nini nimelianzisha kwa huyo the "Other" ntachukulia kuwa ameumia kwa kuwa mimi si mali kitu.

Kupenda hakulazimishwi bana...penzi limeisha kila mtu achukue time..si kukaa kubembelezana.

Siwezi kuishi kwa matumaini au pretence.

Hahaha, wezimwa siku hizi ukiita mwizi nae anaita mwiziiiii!
Aisee, mie nishaona mtu anapigwa na mumewe kisa kampigia hawara simu akamtukana. Na kuna wanaochangiwa na mume na hawara! What people tolarate in marriages nahisi hadi shetwani anashangaa!

Hapo tunakubaliana, i wont get physical even with a cheating husband. So phyiscal confrontations is not on the menu.
ila hata kumuuliza mtu nitauliza kirafiki ama while ridiculing her if i have to.
 
Ujanipata vizuri King'asti

Wakati mwingine tunalianzisha ili tujue ranking zetu...sasa mume anaekupa kisago sababu ya kimada bado unamuhita mumeo???

Nataka anipe hicho kisago ili aone kama ataniona tena nyumbani kwake...nini kisago hata akinigombeza kwa nini nimelianzisha kwa huyo the "Other" ntachukulia kuwa ameumia kwa kuwa mimi si mali kitu.

Kupenda hakulazimishwi bana...penzi limeisha kila mtu achukue time..si kukaa kubembelezana.

Siwezi kuishi kwa matumaini au pretence.
nyumba kubwa hivi kweli kabisa unatelekeza ndoa yako kwa hawara wa kupita.......?
1. watoto Je?
2. mali mlizochuma je?
3. ndugu watakuonaje?
4. Marafiki na watu wako wa karibu watakunaje?
5. Dini nayo inayo nafasi katika muunganiko wenu, unadhani jambo hilo la kutengana litakubalika kirahisi?
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu japo wote wako kwenye ndoa wengi ni Magaidi zaidi yangu...Hamna hata mmoja anaye tolerate nonsense.

Wakati mwingine najiuliza inawezekana familia yetu inadumu kwenye ndoa kwa kuwa wote ni wakali. Mimi nina mwaka wa nane, na ni last but one; hakuna aliye achwa wala kuachika. Na hakuna anayeishi kwa kulia lia.

Mkuu Mtambuzi, kiupande mwingine asilimia kubwa ya wanawake wanakuwa financially dependent on their men,anapofanya costs and benefits analysis ya kuvunja uhusiano na hyo m'me anaona yeye ndio ataumia. So anaamua kuepusha hlo kwa kumvaa m'ke mwenzie. Watakaosema 'nitamvaa mwanaume au nyumbani hakukaliki' ni wale ambao they are financially stable!
 
Kwa mfano ugomvi pekee ulowahi tokea na mume wangu nikiwa nna mimba kubwa ulimfanya mdogo wangu amuite hubby (alimwalika dinner kwenye hotel moja town) akamwambia atamke wazi kama penzi lake kwa NK limeisha; maana ndugu zake bado tunampenda; usimpe BP my sis.

Mme wangu alianza kulia mbele ya shemejiye na kwamba ananipenda zaidi ya chochote..(kama kawa shetani alisingiziwa)

Kwa hiyo najua nina full support toka kwa ndugu zangu...kuhusu jamii mi si mtu wa ku interact sana na jamii hivo I care less.

nyumba kubwa hivi kweli kabisa unatelekeza ndoa yako kwa hawara wa kupita.......?
1. watoto Je?
2. mali mlizochuma je?
3. ndugu watakuonaje?
4. Marafiki na watu wako wa karibu watakunaje?
5. Dini nayo inayo nafasi katika muunganiko wenu, unadhani jambo hilo la kutengana litakubalika kirahisi?
 
Ndugu zangu japo wote wako kwenye ndoa wengi ni Magaidi zaidi yangu...Hamna hata mmoja anaye tolerate nonsense.

Wakati mwingine najiuliza inawezekana familia yetu inadumu kwenye ndoa kwa kuwa wote ni wakali. Mimi nina mwaka wa nane, na ni last but one; hakuna aliye achwa wala kuachika. Na hakuna anayeishi kwa kulia lia.
nyumba kubwa kama ni hivyo, basi ukoo wenu haufai kuoa, kumbe mnawaweka wanaume kwapani eh....................LOL
 
Last edited by a moderator:
NK misimamo yako mingi naihusudu sana. Naam LIWALO na LIWE.

Mimi napenda kuwa muwazi...kwenye mapenzi sinaga busara kabisa ni kichaa kuliko hata chizi.

Ila sijawahi kugombana na mates wa kike wa mume wangu wa kazini...ila nikujue kabisa una uhusiano ambao ni extra na my hubby...nalianzisha.LIWALO na LIWE. Nikiwa na 100 evidence lazima kinuke kuanzia home mpaka kwa small.
 
Kwa mfano ugomvi pekee ulowahi tokea na mume wangu nikiwa nna mimba kubwa ulimfanya mdogo wangu amuite hubby (alimwalika dinner kwenye hotel moja town) akamwambia atamke wazi kama penzi lake kwa NK limeisha; maana ndugu zake bado tunampenda; usimpe BP my sis.

Mme wangu alianza kulia mbele ya shemejiye na kwamba ananipenda zaidi ya chochote..(kama kawa shetani alisingiziwa)

Kwa hiyo najua nina full support toka kwa ndugu zangu...kuhusu jamii mi si mtu wa ku interact sana na jamii hivo I care less.

Hujamalizia kuhusu DINI...................
 
Mtambuzi hiyo ndio fact.

Na hata ungetaka kutuoa umechelewa kwani hakuna aliye available na ujeuri tulonao. Lol.
Nimezungumzia ukoo bana, nyie si mnazaa, na kina Ngadu na Ngano huku wanakua, nataka kuchukua tahadhari, sie hatuijazoea kuwekwa kwapani na wake zetu.....LOL
 
nyumba kubwa,laiti kama ningekua mimi sijui ningemjibu nini huyo shemeji,hawezi kuniuliza kijinga eti niseme wazi kama nakupenda,kwani yeye nani?Khaaaa!!Halafu akalia mbele yake,yaani unalia kwaajili ya mwanamke tena mbele ya mwanamke aibu iliyojeee!!
 
Last edited by a moderator:
ndugu yangu nyumba kubwa nitakubaliana na wewe kama tu hao wezi wako ni watu ambao ukiwatokea hutaishsha P yako ila kama ni vichangu tu ambavyo in one way or the other wananishushia heshima wallah sihangaiki nae. unakumabuka niliposema juu ya ANA?

nilipo angalia kazi yangu na elimu yangu kisha nikamweka na yeye ambaye nimemzidi niliona sina haja ya kugombana na kahaba anaye uza mwili white inn sinza na wala sikutaka kujipa drama. Nilitulia akaanza kunifuata kunichokonoa akakuta busara imetulia siku lia chozi mbele yake wala kumjibu akakosa nguvu.

alikuja kwangu hasira ilipanda nusura niue mtu nikasema litatimia lile wengi walilokuwa wanatazamia so nikawa mpole huku nikjua ipo siku tu sitafedheheka tena. haya yote nayafanya hakuna ndugu aliyejua ikawa home ni 50 zangu kama vile mtu hayupo nimepandisha vioo hadi aibu. akamleta ndani wakalala asbh wakanywa chai miye nimepandish vioo yaani sijali ndipo alipojiuliza mimi ni mtu wa aina gani lkn nikashinda manake alimtimua mbele yangu nikafanya kumpelekea nguo zake bara barani. hakujua mtu na sikutaka kujiingiza kwenye list ya timbwili la akina dada waliokuwa wanakimbiza small house. but it needs moyo aisee asa uwe umeua hisia kama wangu.yanii kufa presha?

to me ndani sitoki labda nimekufa hutak sepa weye hii ndo sheria ya kipalestina na ukicheza mamnina wallah hati zote nabadili majina ukaksi ukaksi tu mbona?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom