Fumanizi: Kwanini wanawake hupenda kuwalaumu wanawake wenzao?

Tena na bhange hizi za somalia nnazovuta! Hukawii kurudi ukakuta nimemualika dinner tunacheeeka wenyewe! Kuna kaka alinisimulia mkewe aligundua rafiki wa mdogo wake ni nyumba ndogo yake. Alichomtenda mkewe, wikiendi moja wakamualika huyo shosti lunch. Wakakaa na stori, jamaa kuingia anamkuta small house kajaa tele. Akajua pona yake ni confession. Alipitiliza chumbani, mkewe kumfuata amkaribishe misosi jamaa akaanza na goti. Wakayamaliza chumbani, wakatoka wakala na mgeni. Jamaa anasema affair iliishia jana yake. Hivi mkeo akikukamata mara kadhaa, asipoku-cheat jiulize kama ni lesbian!
Hahahahahaahahaha!!!!!! umenifurahisha sana King'asti , maana mimi nilposikia kuwa ana small house mpk wamezaa, nilipanga mpango kabanbe wa kwenda kuchukua mtoto nikafanikiwa, aliporudi home akamkuta anacheza na wenzie, halafu sikumuuliza kitu, mbona alizungunga nyumba nzima, na ile miwani siku ile ilikuwa inavaliwa kama ya mtambuzi haikai machoni.mwisho ilibidi aniambie ukweli na kuomba msamaha, kiasi siku hizi hata nikisema naenda kariakoo kununua mahitaji ananiambia twende wote, hiyo ndiyo dawa yao, hakuna kumuuliza unapiga kimyaaaaaaaaaaa, halafu Action zinaendelea.
 
si kwmba wanapenda kuwalaumu ila mpaka unaona analaumu jua hujakerwa wewe tu hata yeye amekerwa na ndo maana anaamua kumlaumu.:redfaces:
 
Nafurahi Mtambuzi na asante sana. Salamu hizi zinanipa mwanga kuna matumaini makubwa pande hizo na akina mama Ngina all is well and good. Au nakosea?
Umepania sana dada AshaDii, lakini mbona dada hupatikani kwenye kilongalonga?
 
Last edited by a moderator:
Mimi kugombana na mwizi wangu hiyo haipo,zaidi nitasepa kuwaachia nafasi kwani nimezaliwa na mtu bana,nitavumilia yakinishinda nduki,akifwata narudi kwa masharti,maisha bila mwanaume yanawezekana sana tu!
 
Hata mi hua siju ni kwanin tunakua na kinyongo na wanawake wakati wao wametakwa na bwana zetu hata wanaume pia hua ni hivyo,mi nadhani ni sababu ya kumpenda mtu hutaki unyang'anyweee
 
Back
Top Bottom