Kwanini aliweza kugundua kuwa mwanaume aliyemfumania na mkewe hana hatia kama alikuwa katika hali hiyo?
watu8@ kama akimuua je?angemuuliza taratibu kwanini umefanya hivi na tatizo liko wapi?kama hamtaki basi anamwacha< mbona wanaume wanafu,aniwa sana?
Kizuri kula na mwenzio....tuache uchoyo jamani! Kha
Huko ndio tunaita kuchanganyikiwa sasa, kwa akili ya kawaida asingeweza kusema hilo alilolisema kama kweli alilisema. Ni kweli mke anaweza kuwa ni mkosaji namba moja maana yeye alitongozwa (kitu ambacho hutokea mara nyingi kwa wanawake wengi), kosa linakuja pale yeye alipokubali, lakini hiyo haimuondelii mkosaji wa pili kosa, huyo mgoni wa kuime. Kumbe basi katika hali ya kawaida yule ndg anayetuhumiwa kwa kosa la ugoni naye ana makosa, lakini huenda kwa akili kutokuwa katika hari ya kawaida huyu jamaa anamuona hana kosa, kitu ambacho ni illogical.
Wewe unadhani huyo mwanaume alipanga kumpiga mkewe?
Hapo waongee nini sasa na kama ni maji ndio yashamwagika...
Huko kutoridhishwa ndio uamue kwenda kuzini? Kwa nini usingeliongea na mumeo?
Suala la wanaume wengine kufumaniwa na kusamehewa linahusiana vipi na hili tukio?
Hata kama kisa kufumaniwa siyo haki kumpiga kiasi cha kuua. Kama adhabu ilikuwa kupiga mbona kamfungashia tena virago?????? SIYO SAHIHI.......
Hapa akiwa amelala hajitambui baada ya kupata kipigo
Picha hii jamaa amembeba mke wake baada ya kumfumania na kumpa kipigo kikali wakielekea nyumbani.
Na mimi nikikufumania nikushushie kipigo wewe na jamaa nimruhusu atambae?
Upige kwa ile fimbo ya asili, tena huliza vibaya sana:yuck:
Kama huyo mkewe angekuwa kama Tyson huyo mumewe angemgusa?Hata kama alikuwa anajua bado jamaa hana obligation yoyote kwa mwenye mke. Mke ndio mwenye obligation ya kuwa mwaminifu kwa mumewe na sio kukitembeza nje.
Big up kwa huyo mume wa bidada. . .amefanya vizuri ku-deal na mzizi wa tatizo na sio matawi!!!
Kwani angefanyweje? @ mimi49Ndio tatizo letu hili adhabu ya pekee tunayoijua sie ni physica and abusive violence!!
Ndio maana nakupenda una majibu sahihi mara zote!Hata kama alikuwa anajua bado jamaa hana obligation yoyote kwa mwenye mke. Mke ndio mwenye obligation ya kuwa mwaminifu kwa mumewe na sio kukitembeza nje.
Big up kwa huyo mume wa bidada. . .amefanya vizuri ku-deal na mzizi wa tatizo na sio matawi!!!
Upige kwa ile fimbo ya asili, tena huliza vibaya sana:yuck:
lakin huyu baba alikuwa yuko very Consious.....