Fully loaded Toyota Land cruiser V8 for Sale

Kitomai

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Messages
1,028
Points
1,225
Kitomai

Kitomai

JF-Expert Member
Joined May 21, 2009
1,028 1,225
Body Types: SUV & 4WD

Price: Tshs 170mil: Negotiable

Year: 2012

Make: Toyota

Model: Land Cruiser VX V8

Kilometer: 31,000

Transmission: Automatic

4 Wheel Drive: Yes

The vehicle is: In Tanzania

Import Duty is paid: Yes

Location: Upanga , Dar Es Salaam

Description
Engine Type :4600cc Petrol
Steering: Right
Drive train :Four Wheel Drive
Doors 5
Exterior Color: Black
Interior Color :Black
Interior Type: Leather
Passengers: 8
Configuration :ZX

Call or Send us an inquiry if you want this car

whatsapp only +255784225000

Sms and call only +255755312233

2017-03-01-photo-00000002-jpg.478033
2017-03-01-photo-00000003-jpg.478034
 
Attachments:

Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Messages
3,129
Points
2,000
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2016
3,129 2,000
Kwa jamiiforrum members hupati hata mmoja 🤣🤣🤣 peleka showroom wakuuzie, sema na wao wanaweka cha juu sana gari linaweza kaa mda halinunuliwi.
 
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Messages
2,924
Points
2,000
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2013
2,924 2,000
daaaah chuma kamili, aka kilimo kwanza aka shangingi
 
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
9,620
Points
2,000
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
9,620 2,000
Mkuu wanunuzi wa haya magari huwa hawaulizi hilo swali.
Ni kweli. Ukiona mtu anauliza swali kama hilo ujue hana uwezo wa kununua. Na kama atajikamua sana akilinunua (kwa ujinga) baada ya mwezi atalitelekeza. Nakumbuka watu walipoanza kuingiza magari used kutoka Japan miaka ya mwanzo ni watu wengi waliingia mkenge wa kununua ma-benz na range rover bila kujua kazi si kununua bali kazi ni gharama za uendashaji. Jamaa yangu alinunua m-benzi wake baada ya mwezi ukamshinda. Ulikuwa unakunywa mafuta kama ngamia anavyomeza maji. Bado spea zake nazo zilikuwa bei juu.
 
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
9,011
Points
2,000
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
9,011 2,000
Ni kweli. Ukiona mtu anauliza swali kama hilo ujue hana uwezo wa kununua. Na kama atajikamua sana akilinunua (kwa ujinga) baada ya mwezi atalitelekeza. Nakumbuka watu walipoanza kuingiza magari used kutoka Japan miaka ya mwanzo ni watu wengi waliingia mkenge wa kununua ma-benz na range rover bila kujua kazi si kununua bali kazi ni gharama za uendashaji. Jamaa yangu alinunua m-benzi wake baada ya mwezi ukamshinda. Ulikuwa unakunywa mafuta kama ngamia anavyomeza maji. Bado spea zake nazo zilikuwa bei juu.
Niliona Range Rover (Be forward) bei CIF 2,200USD ila 46000cc kidogo nijilipue kwa kutaka sifa kwa mademu ila nashukuru akili iliporud nikakaa sawa
 
Forum statistics

Threads 1,314,987
Members 505,127
Posts 31,844,566
Top