Full Time |NBC PL| KMC 1-2 Simba SC | KMC Complex, Mwenge | 16:00

Mimi hua ni mtu mwenye subira sana na uvumilivu wa Hali ya juu sana.
Sikuwahi kuwakatia tamaa Mukwala na Mutale.
Katika watu waliokua wanasimangwa sana ni Mutale na Mukwala.
Lakini Leo hii waliokua wanawasimanga Sasa wanaona aibu.
Mukwala Leo kapiga goli mbili,
Mutale Leo katoa asisti mbili.
 
Utopolo wanasubiri penati ili wahalalishe madai yao na mioyo iburudie na ifarijike dhidi ya kipondo cha Bodi ya Ligi na CAS.
Hata hivyo kama Mukwala asingefunga kulikua Kuna penati halali kabisa,Joshua Budo Mutale alifanyiwa madhambi ndani ya penati boxi.
Sema ikawa advantage goli liliingia.
 
Hata hivyo kama Mukwala asingefunga kulikua Kuna penati halali kabisa,Joshua Budo Mutale alifanyiwa madhambi ndani ya penati boxi.
Sema ikawa advantage goli liliingia.
🤣🤣🤣😂😃
Refariii mbaya sana huyu. Kawanyima fursa yao ya kulalamika.

Angeacha Mukwala afunge, halafu tena atenge penati🤣😂.

Hapo Utopolo wangeandamana hadi ikulu ya TRAMPU (Trump)
 
Hivi kumbe simba alikua uwanjani leo? Mapenati fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…