Kupanda kwa bei kukipanda na kipato hakuna tatizo, ndiyo maana unaambiwa mfumuko wa bei umeshuka kutoka asilimia 12 mwaka jana mpaka asilimia 6 mwaka huu na jitihada zinafanyika mwaka huu ulioanza mfumuko uwe asilimia 5 au chini yake.
Hatua moja mbele then moja nyuma kisha unasema nimesogea, kwanini usingesimama hapohapo tu kuliko kupoteza energy, muda, gharama.
Huo mfumuko wa bei ulioshuka ni nchi gani hiyo?? Kenya au Karzakistan??
JK punguza wapambe kama hawa vichaa.