pascaldaudi
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 534
- 97
Mi nafikiri haina maana ya kujikusanya na kwenda kumpokea.......labda tu kwasbabu hatuna kazi za kufanya.........hayo ni mambo anayotakiwa kuyasema mara kwa mara na kuikosoa serikali na kuwakosowa wenzake pale wanapokosea ................NO BIG DEAL

Hotuba ya kuandikiwa Lema anaitoa wapi akili hiyo ya kuandika hotuba! Bogus yule kaandikiwa tu

Ni sawa kabisa mkuu,

Nadhani Mh. Rais (JK) anao uelewa wa kinachoendelea kuhusu CDM ndiyo maana kila muda unakuta anashangaa (Mfano Dodoma kwenye semina alisema "mbona serikali ya CCM imeleta maendeleo mengi tu na sijui kwa nini viongozi wa serikali hawayasemi?&quot😉, tatizo lilopo kwa viongozi walio wengi ni kufanya kazi kwa kuogopa kivuli cha walio juu yao badala ya kufanya kazi kwa mujibu wa sheria na kanuni.
Hotuba ya kuandikiwa Lema anaitoa wapi akili hiyo ya kuandika hotuba! Bogus yule kaandikiwa tu
Welldone Godbless lema
Hotuba ni nzuri ila imekosa tarakimu! pia haina sababu za kutosha (haswa katika kuishauri serikali). Mfano: kuboresha vyuo vya polisi (kipi kiboreshwe? je ni bajeti? wakufunzi? au....? Mfano mzuri ni hotuba ya Mh. Zitto, ilikuwa imejaa ushauri wa kitalaamu na tarakimu.
Anyway, BIG UP Mh. Lema!

<br /kwa hiyo umeikubali kiaina kuwa hotuba yake kuwa ni ya kweli tupu na ni msumari wa sumu kwa ccm, ila kinakuuma sn kwa lema kuongea ukweli, BADO MISUMARI MINGINE INAKUJA MTAIPATA. PEOPLESSSSSSHotuba ya kuandikiwa Lema anaitoa wapi akili hiyo ya kuandika hotuba! Bogus yule kaandikiwa tu
Hotuba ya kuandikiwa Lema anaitoa wapi akili hiyo ya kuandika hotuba! Bogus yule kaandikiwa tu