FULL TEXT: Hotuba ya KUB, Freeman Mbowe bungeni - Mei 12, 2015

FULL TEXT: Hotuba ya KUB, Freeman Mbowe bungeni - Mei 12, 2015

Kuna magazeti ya CCM na Yale ya Ayatoola hayatagusia kabisa. Hatahivyo yatanunuliwa na wauza vitumbua na maandazi.


Hayo tushayazoea wala hayatupi shida .... hata hivyo hotuba makini kama hii kuandikwa kwenye hivyo vijarida haifai.....
 
Mimi sijawahi kuona hotuba yote mtu analalamika tu sijui anamlalamikia nani sasa kwani hana ufumbuzi wa jambo hata moja wala mpango wowote hana.

Tumia akili kuandika wewe poyoyo kazi yetu sio kusifia nikuonyesha makosa yafanyiwe kazi.
 
Uzi umevamiwa badala ya kujibu kwa hoja wanaleta viroja.
 
hivi watu wanaoikosoa hotuba ya mh. mbowe wametumwa? au wakimbizi wa burundi? sasa nyinyi mliotumwa mlitaka mh. mbowe asifie ujinga wa CCM kwa yote wanayotufanyia nchi hii?
 
Mkuu, hakuna kazi rahisi hapa duniani zaidi ya kulalamika. Kwa division Zero ya Mbowe usitegemee akaja na cha maana. Yoote aliyoongea kuhusu tume ya uchaguzi Jaji Lubuva alijibu jana

Tatizo lakutumika kama ndokom kisa bu7 uone uzuri wowote kweli njaa mbaya sana
 
Radio one inarudia hotuba ya Mbowe kila baada ya muda mfupi.Hotuba hii imekuwa gumzo la nchi.
 
Kuna magazeti ya CCM na Yale ya Ayatoola hayatagusia kabisa. Hatahivyo yatanunuliwa na wauza vitumbua na maandazi.

Gazeti la Ayatoola la Raia Tanzania ni gazeti hovyo kuwahi kutokea nchini
 
safi sana, ila nisaidieni mwanasheria mkuu wa UKAWA TL, kawafanyaje huko?
 
safi sana Kamanda tunahitaji PDF form tutunze ccm buriani.
 
Hotuba ya Mbowe ipo katika viwango vya juu vya ufahamu, sasa kwa akili za maCCM zinazowaza kuiba, kulawiti, kuteka na kuuwa haziwezi kuichanganua kabisa.

au wamtafute mtu makini kama yupo ndani ya chama chao awafafanulie maana kwaelimu yao na ubongo wao uliochanganyika kamasi na kinyesi hawawezi elewa...
 
Back
Top Bottom