FULL TEXT: Hotuba ya KUB, Freeman Mbowe bungeni - Mei 12, 2015

FULL TEXT: Hotuba ya KUB, Freeman Mbowe bungeni - Mei 12, 2015

Ccm matumbo yanaanza kuwauma huu mwaka wenu wa mwisho
 
Kudos to Kamanda Mariam Msabaha. Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) kutoka Zanzibar. Amesema ukweli unauma sana. Amewaambia makamanda wafuatile hotuba 'zilizobaniwa' leo zitakuwa viral kila mahali social media.

She is hittin dem hard...anasema hali ni mbaya. CCM wajiandae kuondoka kuiachia nchi UKAWA.

Hats off to Mariam Msabaha...umezitendea haki dakika zako bungeni. Umewatendea haki wanaCHADEMA. Umewapatia wana UKAWA jioni murua kabisa. Hitting dem (CCM) below the belt with facts. Neno moja tu ulikuwa unawakilisha kutokea kwenye mchango wa Kamanda Lissu. WAMESHINDWA.
 
Hamna lolote la maana zaidi ya kupiga kampeni bungeni. Hii ndio faida ya kutokua na elimu. Zee zima linaongea rubbish
 
Mkuu, hakuna kazi rahisi hapa duniani zaidi ya kulalamika. Kwa division Zero ya Mbowe usitegemee akaja na cha maana. Yoote aliyoongea kuhusu tume ya uchaguzi Jaji Lubuva alijibu jana
Wewe nadhani ulipata zero plus! Hakuna hata siku moja umewahi toa credit kwa Mbowe kwa hiyo wewe una zero plus maana weye pia mlalamikaji tu!
 
Hotuba hii ya Mbowe ni mwiba mkali kwa utawala huu.
 
Hats off to Mariam Msabaha...umezitendea haki dakika zako bungeni. Umewatendea haki wanaCHADEMA. Umewapatia wana UKAWA jioni murua kabisa. Hitting dem (CCM) below the belt with facts. Neno moja tu ulikuwa unawakilisha kutokea kwenye mchango wa Kamanda Lissu. WAMESHINDWA.

Mariam Msabaha katema madini matupu
 
Hamna lolote la maana zaidi ya kupiga kampeni bungeni. Hii ndio faida ya kutokua na elimu. Zee zima linaongea rubbish

Wivu huo, hotuba imetulia... huwezi kuilinganisha na ile ya babu yako mlia hovyo hovyo aliyoisoma asubuhi.... kama hujaelewa omba tukufafanulie sio unaandika rubbish na wewe! Stupid
 
Nafurahi kuona hata wewe umeisoma, najua moyoni umeikubali sema hapa unazuga tu teh teh

sweetlady yaani alichozungumza Lissu kaweka historia kwenye bunge hili.Hapa mtaani kwangu umati wa vijana umepita barabarani ukiimba Lissu...Lissu...Lissu....mara tu baada ya kuunguruma.
 
Last edited by a moderator:

Back
Top Bottom