Wakuu haswa wapenzi wa field hii ya astronomy hebu tujadili muonekano wa mwezi leo toka nje utazame upande wa sunrise(East) uamgalie muonekano wa mwezi
Cc KifyatuKiranga @Monstagala Warren T Kwa bahati Tanzania limetokea na tunaweza kuona hali hii hebu toka nje mwana jf ujionee
Updates: leo, Ijumaa mwezi utakuwa mbali na dunia katika mzingo wake na inafahamika kitaalamu kama apogee,umbali wa kutoka kwenye dunia mpaka kwenye mwezi siku ya leo unatarajiwa kuwa kilomita 4,06,350 hivyo kuzidi umbali wa kawaida wa kutoka katika dunia ambao niKilomita 3,84,000.Baadhi ya maeneo yatashindwa kushuhudia tukio hili kwa sababu ya tofauti ya masaa na maeneo hayo yatakuwa katika kipindi cha mchana hivyo itakuwa ngumu kuoona mwezi huo.Tukio hilo linatarajiwa kujirudia tena December 10, 2030. rangi ya mwezi itaendelea kuwa ile ile ya silva na sio kama ilivyosambazwa na baadhi ya watu mtandaoni kuwa utakuwa mwekundu au wa pinki.Ukilinganisha na Supermoon, tukio ambalo mwezi unakuwa karibu zaidi na dunia mini moon mwezi unakuwa mdogo zaidi kwa 14%.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.