Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,435
- 23,091
Haya ndio mambo tusiyoyataka haya,kama wewe maskini ni wewe,sisi wengine Watanzania ni matajiri.Utakiri umaskini mpaka lini wewe?Bosi asusiwi utalala njaa.Masikini hawezi mkomoa tajiri

Utajiri wetu hauendani na hali halisi sioni jitihada za kuondoa umasikini zaidi ya kuongeza idadi ya masikini kwa kuwasomesha namba kwa kuwakazia vyuma zaidiHaya ndio mambo tusiyoyataka haya,kama wewe maskini ni wewe,sisi wengine Watanzania ni matajiri.Utakiri umaskini mpaka lini wewe?
Wewe umejifunza angalau Economics kidogo kweli,maana duh,inaonekana uko empty kweli kweliUtajiri wetu hauendani na hali halisi sioni jitihada za kuondoa umasikini zaidi ya kuongeza idadi ya masikini kwa kuwasomesha namba kwa kuwakazia vyuma zaidi
Itikadi za kijamaa ziliwahiondoa umasikini wapi?Kwann wakoloni waliweza sisi tunashindwa kwa raslimali hizohizo ambazo awajazimaliza hata robo ya zilizopoWewe umejifunza angalau Economics kidogo kweli,maana duh,inaonekana uko empty kweli kweli
Taarifa za nn mzee? Inakatwa mirija yote ya USAIDKuna baadhi ya mambo nakubaliana nawe lkn kaa ukijua kuwafukuza warekani huwezi kuachwa salama lzm ujidhatiti ktk nyanja zote alasivyo unamwaga mboga na wao wanamwaga ugali,unaweza shangaa taarifa zote za ikulu na siri za serikali zinawekwa uchi tena na mtz mwenzutu kwa mgongo wa USA.. si Kila vita lzm ipambanwe uraiani mengine ni chini kwa chini na usikute viongozi wetu wanajua nini kinaendelea hivyo hayo unayoyaita ni matokeo ya chini ya uvungu...au nawe ni mmoja wao umekuja kupima pishi limeiva au..?
Photo edit hiyo....hahahahahha
LOL angewauliza wa Zimbabwe tuUkipambana na beberu uwe na uhakika una uvungu wa kukimbilia atakapoamua kukunjua makucha yake
Bado unaendelea kuonyesha kwamba uko mtupu.Nenda kasome kitabu kinachoitwa "Why Europe Underdeveloped Africa" ufute matongo tongo.Itikadi za kijamaa ziliwahiondoa umasikini wapi?Kwann wakoloni waliweza sisi tunashindwa kwa raslimali hizohizo ambazo awajazimaliza hata robo ya zilizopo
Na, Robert Heriel.
Nani asiyejua kuwa Marekani ndiye Baba wa Ukoloni mamboleo. Nani asiyejua kuwa Marekani ndiye aliyejivika kibweka miaka ya 1945 kufanya Decolanization ili naye apate ulaji kupitia mlango wa nyuma wa Neo-colonialism. Nani asiyejua nauliza.
Huyu marekani anafahamika kwa siasa zake za ujanja ujanja wenye kuumiza. Yeye akiwa Baba wa Mabeberu akishirikiana na vibeberu vidogo vidogo kutoka magharibi. Amejimilikisha hii dunia na kuifanya kama kigoda cha kuwekea Kalio lake.
Nani asiyejua Marekani ni moja ya watu waliohusika kumtoa kimabavu Muammar Ghadafi, Sadamu Hussein kwa kile wakiitacho kupigania demokrasia. Huko kwa Badhad Al Asady Syria tokea 2011 nipo kidato cha nne amewachafua vibaya watu wa huko.
Kupitia mashirika yake ambayo ameyaita yakimataifa amekuwa bingwa wa kuunda propaganda zenye malengo mbalimbali. Lakini kwa kawaida Marekani anafahamika kama bingwa wa kutia watu hofu. Bingwa wa fitina wa siasa za dunia.
Miezi iliyopita alitoa taarifa kuwa Tanzania inaweza kupata shambulio la kigaidi wakati wowote hivyo inawatahadharisha watu wakazi wake. Ikavunja taratibu za kutoa taarifa kama hivyo bila kuwashirikisha mamlaka husika za ndani. Tukio lile waliomba radhi. Nikawapongeza kwa kuwa Waungwana japo macho bado lazima tuwatolee.
Haya Jana wamewapa tahadhari watu(hasa watu wa marekani) wanaotaka kuja Tanzania kuwa kuna matishio yanayohatarisha maisha ya watu nchini Humu.
Matishio hayo;
1. Tishio la ugaidi.
2. Tishio la ugonjwa wa Ebola
3. Tishio la Ujambazi na uporaji.
4. Mashoga kunyanyaswa na kupigwa vita n.k.
Hoja hizo na zingine ndizo zimewafanya Wamarekani watoe tahadhari kwa rai wao.
Marekani lazima ajue haya na bila shaka anayajua.
Ebola ni ugonjwa usiojificha kama Ukimwi. Ebola ikianza hakuna siri. Ebola ni kama pembe la ng'ombe wakati UKIMWI ni kama Nyeti za Kuku.
Marekani inaposema Serikali inaficha Ebola sijui inazungumzia nini kama sio kutengeneza hofu kwa watu kama ilivyokawaida yao. Kama hawana mpango wa nyuma ni jambo gani wanataka kulifikisha.
Tanzania haina chakujificha katika EBOLA. Yapo magonjwa mengi isijifiche Why iwe kwa Ebola. Yalikuja mafua ya ndege yakapiga maeneo ya Arusha huko ndani ndani serikali ikatangaza. Ilikuja Dengue serikali ikatangaza.
Sasa huyo Ebola na Marekani wana uhusiano gani mpaka sisi tushindwe kumuanika kuwa katinga nchini. Marekani acheni zenu. Tutawafukuza. Ili mfanye hizo propaganda zenu vizuri.
Lini hapa nchini Raia wa kigeni wameishi kwa bughuza. Lini hapa nchini Wamarekani wamenyoshewa hata kidole na Raia wetu bora kuliko wote dunia wenye upendo.
Licha ya ninyi wageni hususani Wamarekani kutesa na kujivinjari kuliko Wageni katika ardhi yetu lakini Watanzania wanawapenda na kuishi na ninyi vizuri. Alafu leo muongee mambo ya kipuuzi puuzi mkidhani sisi ni wajinga.
Ningekuwa mimi ndiye Kiongozi wa Taifa hili. Ningewatimua. Ningewafukuza ili muende mkafanye Propaganda zenu za kipuuzi huko nje kwa uhuru.
Nisingesubiri muwatahadharishe watu wenu kuwa wasije huku. Ningewagukuza na kuwapiga marufuku kukanyaga nchi hii mpaka nitakapoondoka.
Ati mashoga tunawanyanyasa. Mulitaka wafanye mambo yao yakipuuzi mitaani. Kama ninyi mnawajali sana hao Mashoga na wapenzi wa jinsia moja. Wachukueni muende nao huko kwenu mnapowapa uhuru wa kufanya upuuzi wao.
Hata hivyo bado serikali inamambo mengi. Bado ingehitajika ishuhulike haswa na watu hawa ili muongee vizuri.
Tunajua wapo mawakala wenu mliowasomesha enzi za nyuma wanaowasaidieni katika kueneza upumbavu. Sasa mnataka mrudishe pesa zenu mlizotumia kuwasomeshea. Tunajua wapo wanaonufaika na yale mnayoyapigania. Tunajua yapo mashirika binafsi mnayoyadhamini kwa ajili ya kuwapigieni chapuo. Tunajua wapo vibaraka katika baadhi ya makanisa uchwara na wanasiasa uchwara.
Tunajua wapo Wachungaji mnaowatumia wamtumie Yesu kutetea mashoga. Sasa taarifa ni hii. Waambieni hao vibaraka wenu kuwa kama Yesu naye alitetea Hao mashoga mwambieni naye hatumtaki. Ingawaje tunajua hawezi kufikia kiwango hicho cha upuuzi bali ninyi ndio mnamlisha maneno.
Fukuza hao Wamarekani ili wajue wao sio lolote katika taifa hili. Tunajua tutapata tabu kwa miaka hii kumi kutokana na mazoea mabaya ya utegemezi na athari za Ukoloni mamboleo lakini Ukweli ni kuwa tutakuwa Stable baada ya miaka 20.
Marekani lazima ijue kuwa Taifa hili ni taifa kubwa. Linavijana wenye fani zote hata zisizokuwepo Marekani. Linavijana wajuvi wa fani mbalimbali. Lina wanawake mashujaa na wachapakazi.
Kinachowakwamisha ni baadhi ya viongozi vibaraka na Wafanyabiashara Wakubwa wanaotegemea zaidi Bidhaa za kibeberu zinazoua viwanda vyetu.
Serikali fukuza Marekani irudi kwao ikafanye propaganda zake vizuri za kuchafua nchi yetu.
Ni muda wa Kumthibitishia Marekani na Vibaraka wake kuwa wao sio lolote zaidu ya chochote keenye taifa hili.
Wapo watu watakaosema kuwa oooh! Naongea porojo. Mara taifa letu ni masikini. Sijui Blah Blah hapa.
Taifa hili sio masikini bali linahitaji msuko wa kifikra kwa vijana kuhusu mtazamo kuhusu ubora wetu.
Sisi ni watu bora. Kila mwenye akili analijua hili. Kila kijana mwenye mapenzi na nchi hii analijua hili. Nna ataungana na jambo hili.
Najua wapo maadui hata hivyo ni lazima muwepo ili tuweze kuona nguvu zetu tunapopambana na nyie. Tunajisikia fahari na mchezo mzuri kupambana na adui zetu ambao baadhi yao ni ndugu zetu tuliozaliwa katika taifa hili.
Mnajua tutawashinda ninyi wenyewe. Ninyi wenyewe mnajua sisi tumewazidi mambo mengi muhimu na yalazima.
Fukuza Marekani ikafanye siasa za kipropaganda zake vizuri. Isijeona tunaiogopa na ipate funzo kuwa sisi sio watu wa mchezo.
Andiko hili ni moja ya maandiko yangu yanayolenga kuzipa nguvu mitazamo ya vijana na kuibadili iwe bora bila woga.
Robert Heriel
Taikon Wa Fasihi.
0693322300
Naunga mkono mabeberu yatimuliwe
Bosi asusiwi utalala njaa.Masikini hawezi mkomoa tajiri

Nakijua Sana na nimesoma vingi tu.Ameandikwa kwa nadharia ya matakwa yake kutazama mabaya tu.Yeye na wwe na wengine wote ni sawa na kisa cha mbaazi kusingizia jua mwafrika kashindwa kuendelea anasingizia mkoloni utadhani ni Africa tu ndo iliyotawaliwa.CHINA,INDIA,MALAYSIA,HONGKONG,LATIN AMERICA nk wao awajatawaliwa na wakoloni?Waafrica tujiliamu wenyewe juu ya matatizo yetu na sio kuwasingizia wakoloni waliondoka miaka 60 iliyopita na hata robo ya mali awajamaliza Mali iliyppo Africa bado ni nyingi kuliko iloyochukuliwa.Hata Leo tukisema tubadilishane nao tuwape Africa nasie tupewe ulaya haitofika miaka 5 tutaanza kuzamia Africa tena.Bado unaendelea kuonyesha kwamba uko mtupu.Nenda kasome kitabu kinachoitwa "Why Europe Underdeveloped Africa" ufute matongo tongo.