Unaongea kwa mihemko bila fact yeyote pole sana naona povu tu hapa.Tangu nchi yako ilipopata uhuru mwaka 1961 inakimbizana na matundu ya choo, uhaba wa madawati na maji mpaka sasa bado haijatatua. Sasa utaongea nini mbele ya beberu wakati vitu vidogo tu umeshindwa kuvimaliza kwenye nchi yako? Tangu mwaka 1961 unapokea misaada halafu na wewe unajiona mwamba kwa lipi?. Tatizo unaandika ujinga bila kufikiri. HAPO ULIPO UPO KWENYE KISIMU CHAKO CHA KICHINA UNAANDIKA HUU UJINGA. KAJAMBA NANI NAYE ANABISHANA NA MAREKANI. NA WEWE UNAJIONA MJANJA KUANDIKA HUU UJINGA KWA ID FEKI. KESHO NENDA KWENYE VYOMBO VYA HABARI UKAUSEME HUO UJINGA WA KUWAFUKUZA WAMEREKANI. HUYO KIONGOZI ALIYEKUMEZESHA HUO UJINGA ATAKUWEKA NDANI
Pole sana kijana.
HII SIM YANGU YA MCHINA LAKINI OG HUAWEI KIJANA NADHANI UNAFAHAM KUWA IMEIPITA KIMAUZO SIM YA BWANA WAKO BEBERU IPHONE.
Halafu kuhusu masuala ya msaada ule ni unyonyaji ila ww huujui tu maana kichwa chako kimejaa kasumba.
Nishakujua empty headed wacha nikufahamishe masuala flan na wala sitakutukana km ufanyavyo.
Katafute nakala iloandikwa na UK inayoitwa "How imperialists benefits from fake AIDS to Africans".
Utayajua mengi sana humo.
Ukoloni mambo leo na poor colonial mindset kama yako ya kusema mzungu ndio kila kitu ndivyo vinatukwamisha sisi hapa nchini.
Tukizi wash hizo colonial mindset yenu basi huwenda tutakaa vema na kuiendeleza hii nchi.
Wafaa ujue hii nchi toka inapewa uhuru imeanzia wapi na inaelekea wapi??
kwann haikupiga hatua kwa kasi licha ya maliasili nyingi na ni nini tatizo??
Hivi ulishawahi kujiuliza haya maswali??
Basi kama ukikaa chini ukajiuliza waweza pata jibu na ukajicheka kwa pumba zako.
Halafu inaonekana hujui maana ya sovereignty.
Tunaweza kujiamulia tutakavyo kulingana na internal sovereignty yetu tuliyo nayo.
Punguza povu mwanamama leta facts.