kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 4,314
- 8,306
Lini...?Hata wewe ulivyopigwa 5 ulikuwa kilema😂😁
Achana na Historia....!
Huyo Jamus...... ! 5 bado
Lini...?Hata wewe ulivyopigwa 5 ulikuwa kilema😂😁
Usimkatie mtu.....TAMAAA
Usimkatie mtu tamaaaaaa
Tunasubilia penalty
Yaani hawa wako ligi moja na zalanSiyo sudan, sema Sudan ya kusini, timu ambayo kwa Tanzania hata ligi ya mkoa haiwezi kushindana
Ingizo jipya vipi!! Halijaonyesha a new magicUkisikia ball possession isiyokuwa na tija ndiyo hii tunayoiona kwa yanga Leo,
Gooal Farid Musa
Hii ndiyo yanga tunayoifahamu!
DaaaaahhGoooal Moloko 1-3
Yangaaa...Daima nguvu nyuma mbele mwiko moja
5G ya nokoFt 1 _1
Utapigwa mawe mkuu watu wana hasira bomu limegoma kulipuka mochwari 😂Ngapi ngapi huko??
Dk ya ngapi uko wazeeUtopolo wanabutua tu