FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

Lazima tuwashone members kama wewe.
Saa nane usiku unakimbilia kuanzisha uzi harakaharaka ili uwe wa kwanza.

Jifunze kwa kina OKW BOBAN SUNZU jifunze kwa kina Scars jinsi wanavyoanzisha nyuzi kama hizi.

Hata kama hukua na habari juu ya mechi husika basi, unakipata kila kitu papo hapo pasi na kuscrow au kuuliza.

Na siwezi kuona wivu, nione wivu kwa kuanzisha uzi kipuuzi puuzi namna hii.

Next time ukileta uzi wa namna hii na nikiuona basi tegemea comment yangu, eidha kusifu, kukosoa au kuchangia ulichokileta.
Hauna akili wewe na utabakia hivyo hivyo njaa zinakufanya ugombane na mtu usie mjua hao ulio wataja ni mabwana zako au ???? Kuhusu kumshona kamshone alie kuleta in world hijos de puta madre
 
Back
Top Bottom