Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,636
- 9,786
🔥 🔥 🔥
Nenda kakate rufaa CAF.Max alistahili kadi ya njano lkn muamuzi kabeba
Mshambuliaji wa Gaborone alianguka kwa kusukumwa muamuzi hakupuliza ikapelekea goli
Kosa kosa za hapa na pale. Ile kasi waliyoanza nayo naona imepungua kiasi pia.Kuna namna bado hawajutulia pale mbele Yanga
Nenda kalilie chooniMax alistahili kadi ya njano lkn muamuzi kabeba
Mshambuliaji wa Gaborone alianguka kwa kusukumwa muamuzi hakupuliza ikapelekea goli
Kocha kazingua🚮Ametoka Shalulile na Aziz K.
Wameingia Zoakan na Kangwanda