FT: Yanga SC 2-1 Gaborone Utd | CAFCL - Kufuzu Round 1 | Azam Complex | AGG 3-2

FT: Yanga SC 2-1 Gaborone Utd | CAFCL - Kufuzu Round 1 | Azam Complex | AGG 3-2

Selemani kaivusha Yanga. Ulikuwa uamuzi sahihi kwa Yanga kutuibia.
 
Yanga unga sana.! Wana kazi kubwa ya kufanya kwenye kiwanja cha mazoezi.
Ukiondoa propaganda zao za mitandaoni, hakuna cha maana walichocheza.
 
Sub zake zimeipatia unafuu Gaborone United. Kilichobakia hapa ni kupambana kupata goli la pili. Kinyume na hapo presha itakua juu hadi dakika ya 90.
Kocha ana Sub za ajabu sana, ana bahati, ila safari yake ilikuwa inaisha Leo. Yaani utoe Key players wawili kwa mara moja badala ya kujaribu partnership mpya kwa kumtoa mmoja tu!!
Ajitafakari!
 
Sub zake zimeipatia unafuu Gaborone United. Kilichobakia hapa ni kupambana kupata goli la pili. Kinyume na hapo presha itakua juu hadi dakika ya 90.
Nafikiri shida haikuwa sub. Tatizo lilianzia kwenye uchaguzi wa wachezaji walioanza. Hakukuwa na haja ya kuanza na strikers 2 pamoja na Aziz Ki ambao wote ni wazururaji uwanjani.
 
Yanga unga sana.! Wana kazi kubwa ya kufanya kwenye kiwanja cha mazoezi.
Ukiondoa propaganda zao za mitandaoni, hakuna cha maana walichocheza.
Hawajawa na uwezo wa kuunganisha uwezo wa key players...

Na game ya leo imewakataa sana.
 
Back
Top Bottom