Kumbuka na wao wanacheza wanahitaji kufuzu lazima wajitume.Hii timu mbona ilitakiwa ichapwe sana...
Au ni nguvu ya yale majuju
Kwahio Gaborone hawapo serious?Hii yanga ya kipindi hiki ikikutana na timu iliyo serious watachezea kichapo
Ukilinganisha na Yanga wenyewe kwenye NBC 😁Unga ukilinganisha na nani?
Mpira upewe heshima yake mlitaka mshinde kirahisi?Tumefuzu lakini kwa presha kubwa saan
Ndio nawashangaa hao ndio mabingwa ligi yao botswana,sijui walitaka wacheze kama majimaji fcKwahio Gaborone hawapo serious?
Hii yanga ya kipindi hiki ikikutana na timu iliyo serious watachezea kichapo
Dah! Mabeki wa Yanga wana makosa binafsi yanayo igharimu Timu. Goli 2 zote za Gaborone walizo funga nyumbani na ugenini zote ni makosa binafsi, hata magoli waliyofungwa kwenye ligi kuu ni hivyo hivyo ni makosa binafsi ya mabekiBakary Mwamnyeto ashukuru Dickson Job ni majeruhi. Mwamba anachomesha sana.
Hakuna anaewalemaza ,ukweli uto hamna timu ya kuvuka makundi.Inabidi tuwaambie wenzetu wa hapa nao wawe wanakaza maana yale mazoea ya hawa watu kucheza tunawapiga 4,5,6 ni kutulemaza
UtaonaHakuna anaewalemaza ,ukweli uto hamna timu ya kuvuka makundi.
............... Not as much as this country needs.Hii timu ya Yanga wanahitaji sana reform
Hata kujaza viwanja, imekuwa changamoto sana.! Siku hizi tiketi za bure zinatolewa ila kimya kimya sana.!Watu siku hizi hawana mapenz na hiz game kabisa yaan yanga inacheza Uzi uko page ya 6 tu
Mzee naona unanyoosha na 'Rula' kabisa.! Wazee wapo unga unga sana. Kwa propaganda ni A+Hakuna anaewalemaza ,ukweli uto hamna timu ya kuvuka makundi.
Pamoja na ubovu huo, Kila wakitutana na Kunya FC wanashindaMzee naona unanyoosha na 'Rula' kabisa.! Wazee wapo unga unga sana. Kwa propaganda ni A+
Uhuru, Aman?Wangeenda Wapi?
Tena hapo shukuru ni international game, ingekuwa local uzi ungekuwa na page mbili tuWatu siku hizi hawana mapenz na hiz game kabisa yaan yanga inacheza Uzi uko page ya 6 tu
Of course, Dabi ina mambo mengi sana mbali na uwanjani.!Pamoja na ubovu huo, Kila wakitutana na Kunya FC wanashinda