Nipo TanganyikaDuh upo TZ wewe?
Za mechi ya kesho. Niangalie Utopolo mimi nimechanganyikiwa?Zimeisha mdau
Au sioYanga leo tunapiga mtu chuma tatu
😂😂😂 kuna watu wanaamini Gaborone wanafuzu
Uto kama UtoYanga leo tunapiga mtu chuma tatu
Mangi uko poa?Au sio
Kabisa namngojea 🐸 aruke ruke leoMangi uko poa?
Ana usunda na nani hao wahuni wanajua boliOrlando wanatoa adhabu huko kwa madiba
Mkuu inawazekana tunafahamiana aisee kuna mshikaji wangu mmoja anapenda sana kutumia hii kauli.Za mechi ya kesho. Niangalie Utopolo mimi nimechanganyikiwa?
Watapita lakini, kwa tabu sana.Kabisa namngojea 🐸 aruke ruke leo
Na katimu kamoja ka MauritiusAna usunda na nani hao wahuni wanajua boli
Wameyatimba karibu chamazi nduguNa katimu kamoja ka Mauritius
Uto leo watajua kuwa hawajui!Yanga leo tunapiga mtu chuma tatu
Kufanyaje tena?Wameyatimba karibu chamazi ndugu
Ndio umeandika nini Uto?Kila la kheri chamu langu yanga sc