Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,175
- 83,026
😄😄😄Ndio umeandika nini Uto?
😄😄😄Ndio umeandika nini Uto?
Wewe si SimbA! Basi tumefungwaTsyari
MmefungaWewe si SimbA! Basi tumefungwa
Sisi ndo Yanga bhanaMmefunga
Hawa wametudi na ule mchezo walioucheza kule kwao naona mnawashambulia.Tutawapiga machache tuu, goli 4
WeweNani kafunga?
Wacha we.Sisi ndo Yanga bhana
Upo wapi nije kukubonda?Wewe
Sabato leo nimetoka kanisani nipo Bar naangalia mpira na kunywa Maji.Upo wapi nije kukubonda?
Mshahara wa September bado upo kumbeSabato leo nimetoka kanisani nipo Bar naangalia mpira na kunywa Maji.
Salary Advance nimekopa. Week ijayo muwe mnanihesabia kwenye chakula.Mshahara wa September bado upo kumbe