financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,192
- 43,533
Naiona Week nyingine hii😀😀 7
Muulize OKW BOBAN SUNZUMayele kafanyaje, tupeni habari basi
Itakuwa waarabu wanampa vitu adimuUnashabikia waarab , andaa marinda
Mrembo kama wewe nawe ni Uto?Naiona Week nyingine hii😀😀 7
Itakuwa sababu ya mvuaVipi lakini hilo shangwe tulio haidiwa na Ally komwe lipo au namna gani ?
Na umekaa hapo unaangalia loosersLigi ya LOOSERS hiyo wewe
Tulia weweMrembo kama wewe nawe ni Uto?
Sizitaki mbichi hizi,nenda kapige deki uwanjaYanga shukuruni mvua la sivyo mlikuwa hamtoboi
Mayele kafanyaje, tupeni habari basi