Malizia kusema 😂😂😂Kuna tofauti kubwa kati ya Kombe la Shirikisho na CAF Champions League, ni vizuri kila mtu akaelewa.
Mengine nitasema baadaye.
Ova
🤣🤣🤣leo afadhali ya jana,safari hii kolouizdad anapigwa nje ndani...kyee kyee kyeeeeee
Tulia MkuuHaya ongea sasa😂😂😂
Haya siai ndiyo tumetoa draw na nyie mmepigwa! Haya toa maoni yako na utume salamu zako 😄Tulia Mkuu
Tumewahi kuwafunga mara kadhaa na kutoa nao draw mara kadhaa na kufungwa mara kadhaa hivyo History keptHaya siai ndiyo tumetoa draw na nyie mmepigwa! Haya toa maoni yako na utume salamu zako 😄
Hata Yanga wamewahi kufunga mara kadhaa kudraw mara kadhaa na kufungwa mara kadhaa, so point yako kusema vile iko wapi?Tumewahi kuwafunga mara kadhaa na kutoa nao draw mara kadhaa na kufungwa mara kadhaa hivyo History kept
Nionyeshe Mechi Tano ambazo yanga Wamewahi kufunga na Kudraw kwa al ahlyHata Yanga wamewahi kufunga mara kadhaa kudraw mara kadhaa na kufungwa mara kadhaa, so point yako kusema vile iko wapi?
Hayo yametoka wapi? Point ni kwamba ulisema nyie ndiyo mlitoa nao draw ila Sisi tutafungwa, haya sisi tulitoa draw na nyie mmefungwa sasa!Nionyeshe Mechi Tano ambazo yanga Wamewahi kufunga na Kudraw kwa al ahly
Haya mechi ya kwanza hiyo hapo draw! Na wewe nionyeshe hata mechi 2 tu mlizoshinda 😄😄😄Nionyeshe Mechi Tano ambazo yanga Wamewahi kufunga na Kudraw kwa al ahly
Mmeshinda mechi Moja na Mbili MmedrawHaya mechi ya kwanza hiyo hapo draw! Na wewe nionyeshe hata mechi 2 tu mlizoshinda 😄😄😄
View attachment 2948985
Haya mechi ya kwanza hiyo hapo draw! Na wewe nionyeshe hata mechi 2 tu mlizoshinda 😄😄😄
View attachment 2948985
kwa uandishi huu inaonekana bado hujapata mume. Mungu akupe hitaji la moyo wakoYangq ni wehu tu yaani mie sishabiki timu ya jezi za mazingira zina nuksi . Kaogeeni magadi maana hata mfanyeje siye timu tunayojielewa sio wehu kama nyie hamtuzidi
Ushanyoavuzi hilo au bado una kipiripri chako kutaka kusumbuana Jana Si umepigwa cha Mbunge sasa hivi una mimba tafuta malimao mapema leo ukikaa upande wa Mamelodi unapigwa Mimba nyingineYangq ni wehu tu yaani mie sishabiki timu ya jezi za mazingira zina nuksi . Kaogeeni magadi maana hata mfanyeje siye timu tunayojielewa sio wehu kama nyie hamtuzidi
Ikawa asubuhi ikawa jioniIkawaje?