FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Nionyeshe Mechi Tano ambazo yanga Wamewahi kufunga na Kudraw kwa al ahly
Haya mechi ya kwanza hiyo hapo draw! Na wewe nionyeshe hata mechi 2 tu mlizoshinda 😄😄😄
20240330_122057.jpg
 
Yangq ni wehu tu yaani mie sishabiki timu ya jezi za mazingira zina nuksi . Kaogeeni magadi maana hata mfanyeje siye timu tunayojielewa sio wehu kama nyie hamtuzidi
Ushanyoavuzi hilo au bado una kipiripri chako kutaka kusumbuana Jana Si umepigwa cha Mbunge sasa hivi una mimba tafuta malimao mapema leo ukikaa upande wa Mamelodi unapigwa Mimba nyingine
 
Samahanini nipo nje ya mada ila hili ni jambo zuri pia

KAMA UNATUMIA TIGO BORA UTOE 40K ILA UOKOE HELA UNAZONUNUA DATA&DK KWA MIAKA 2 (GB48 KILA MWEZ+DK 2000)*

Watumiaji wa tigo njoo nikuunge huduma hii uwe unapewa gb 48 na dk 2000 kila mwezi kwa miaka miwili, huduma hii sahivi unaungwa pekeyako na sio kikundi.

Uhakika na usalama wapesa yako ni 100% mana hela unailipa direct Tigo kama unavyojiunga na vifurushi vingine, mm nakupa maelekezo tu ya kujiunga, ( ukijiunga nalipwa na tigo ).

kama ukitaka kujiridhisha nikishakupa maelekezo unaweza kupiga 100 uulizie ujiridhishe kabla ya kulipia.

PIA KUNA GB35+1000DK KILA MWEZ KWA 30K, MUWE WATU WAWILI.

HUNITUMII HELA YOYOTE HATA MIA!

Karibu hata uniulizie tu nikupe maelekezo bure!

KAMA UKITAKA TUKUTANE TUFANYE KAZI LIVE PIA INAWEZAKANA

NITEXT WHATSAPP

0717700921
 
Back
Top Bottom