FT: Singida BS 1-2 Simba SC | Ligi Kuu ya NBC | Singida wametepeta!

FT: Singida BS 1-2 Simba SC | Ligi Kuu ya NBC | Singida wametepeta!

Refa huyu asipofungiwa nitashangaa, penati mbili zote za wazi. Na BODI YA LIGI ikiwa ina endelea na trend hii ya kuwafungia waamuzi ipo siku Voimanda atakuwa refa wa kati. VAR walileta wakaziweka stoo ili ziwe makazi ya panya?
Nadhangaa kwanini wamefungia VAR, ingekata ngebe na ukiritimba
 
aiyemsajii Mwangosi ametukosea sana wanasimba ina maana scout yao imeona ni mchezaji anayefaa kucheza Simba
 
Kocha wa Simba ajifunze kufanya rotation, mechi na B19ilikuwa mechi ya kuwachezesha kina Mahema, Chasambi na wakaa benchi wengine lakini bado kuna wachezaji kama Loemba walicheza muda mrefu, Kagoma anakuwa na makosa ya kujirudiarudia akipata mpira bila kuangalia anatoa mpira pasipo kuangalia adui amekaaje matokeo yake anacheza rafu zisizo na maana.
 
bora wangecheza na false no 9
Wewe ni moja ya watu wanaobishana bila kuangalia mechi na kutojua mwenendo wa timu. First eleven ilikuwa na false no 9 ya Loemba. Na hiyo ni kwa sababu strikers tegemeo wamesimamishwa na Bodi na Simba. Huyo Mwangosi ni option ya 3, ambaye imebidi aiongie baadae kubadili plan baada ya false 9 kutoleta matokeo

Au ulitaka asubuhi asajiliwe Edgar William, jioni aingie kucheza?
 
unamtoa kwa mkopo Valentino Mashaka unamleta Mwangosi, alioingia alileta mabadiliko gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom