Baada ya mchezo wa Ngao ya Jamii Agosti 12, 2026 wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC, timu hizo mbili zitaendelea na maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC 2026/2027. Yanga SC itasafiri kuelekea Ruangwa, Lindi, ambapo Agosti 15, 2026 itacheza dhidi ya Namungo FC katika mchezo...
Wakuu!
Bila shaka msimu wa 2025/26 wa Ligi Kuu ya NBC umetoa funzo na mwelekeo wa namna ya kuboresha kanuni za mashindano kuelekea msimu wa 2026/27 ili kuongeza nidhamu, ushindani na hadhi ya ligi. Kuna Matukio ya kukomewshwa ili kuondokana na uswahili ambao unaifanya Ligi yetu kuwa bora zaidi...
Licha ya kuwa timu ngumu inapocheza kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Mashujaa FC imekubali kupoteza kwa magoli 3-0 dhidi ya Simba ambayo imeendelea kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuutafuta ubingwa wa Ligi Kuu Bara.
Simba imebaki katika nafasi ya pili ikwa na pointi 52 katika michezo 23 nyuma...
Kwa mara ya kwanza timu ya Yanga imepoteza mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu wa 2025/26 mbele ya Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa Airtel, Singida, leo Mei 13, 2026.
#########
Yanga yupo uwanjani tena kuzisaka alama 3 dhidi ya Dodoma Jiji. Je ni Dodoma Jiji au Yanga kuondoka na alama 3 ...
Yanga kama kawaida imeendeleza makali na kubaki kileleni katika Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Tanzania Prisons ya Mbeya Goli 1-0 kwenye Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, leo Machi 12, 2026, hivyo kufikisha pointi 35 katika mechi 13.
============
Wakali, vinara, mabingwa wa kihistoria na...
Matokeo:
Singida Big Stars
Goli: Mossi Ndumumwe 38
Simba SC
Goli: Anicet Oura 07
Goli: Elie Mpanzu 85
📍 Uwanja wa Airtel, Singida
Baada ya ushindi huo Simba kupitia ukurasa wao wa Instagram wameandika "Tumekula ndugu wa ile famili", ambapo timu hiyo imefikisha alama 27 katika michezo 12...
Yanga 5 VS JKT Tanzania 0 | Ligi kuu ya NBC | KMC Complex | 25 Februari, 2025
Mechi ipo live
Salama zinatumwa
Game over Yanga asimamisha Mnara wa 5G kwa JKT Tanzania
Magoli ya Yanga yamefungwa na Mohamed Hussen, Depu, Dube, Mudathir na Shekhan
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewatangazia wadau wa mpira wa miguu na umma kwa ujumla kuwa Hafla ya Tuzo za TFF 2025 itafanyika mwanzoni mwa mwezi Desemba.
Soma > Mwenye taarifa ni lini bodi ya ligi na TFF watatoa tuzo za msimu wa 2024/2025
Tarehe rasmi ya hafla hiyo, ambayo...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kwa kushirikiana na Bodi ya Ligi (TPLB) na Kampuni ya JUSTFIT, leo Septemba 22, 2025 wamezindua rasmi mpira maalumu utakaotumika katika michezo yote ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026.
Mpira huo, ambao umebuniwa na msanii na mbunifu maarufu Masoud Kipanya...
Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 inatarajia kuanza Septemba 17, 2025.
Mechi za ufunguzi zitakuwa ni KMC FC itacheza dhidi ya Dodoma JIJI FC pale KMC COMPLEX na Coastal Union dhidi ya Tanzania Prisons, Mkwakwani Tanga.
Manguli wa soka la Bongo Simba na Yanga watakutana katika mchezo wa kwanza...
Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa 2025/2026 inatarajiwa kuanza rasmi Septemba 16, 2025, ambapo mashabiki wa soka nchini watashuhudia tena ushindani mkali miongoni mwa vilabu vikubwa na vidogo, huku kila timu ikisaka pointi muhimu kuanzia hatua za mwanzo za ligi hiyo maarufu nchini Tanzania.
Sasa...
Mchangauo wa zawadi za fedha kwa timu shiriki za Ligi Kuu ya NBC - Tanzania Bara kwa msimu wa 2024/2025, ambapo kila timu itapokea zawadi kulingana na nafasi iliyoishika kwenye msimamo wa mwisho wa Ligi. Mambo yanaweza kubadilika kwa Yanga na Simba endapo mchezo wa jioni ya leo Simba akishinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.