FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

Singida na Simba wanacho tofautiana ni namna timu Moja inavyo bebwa na kupendelewa.
Kama kungekua na fair Simba isingekua apo ilipo.
 
Kwa SBS hii ya Sowaaa, Adebayo na Rupia Simba anakufa nyingi. Mkono ni machache.
Kukiwa na fair play.
Lakini kwa bodi hii na TFF, wameshahakikishiwa ushindi ndio maana ombi lao la kusogezwa mbele mechi yao limekataliwa, kuzuga kuwa wako serious na hawana nonsense.
 
Tuambieni mapema kabisa huyu mwamuzi na wasaidizi wake pia ni Simba au ni Yanga?

Mwamuzi wa mchezo wa Simba Sports Club dhidi ya Singida Black Stars ni Hery Sasii, atasaidiwa na Hamdani Said na Zawadi Yusuph.
 
Back
Top Bottom