Moigwe na muongezwe kabisa 🤠!Saaizi wanatembeza bolii. Naogopa goli linaweza kurudi hilii
Sema hii tinu na tunavoiendesha na huyu bossi wetu mzee wa mo extra , mambo yaende sawa tu dahNimesikia jamaa ni kocha na nusu naimani mambo yatakaa sawa chini yake.
Tukizikosa hizi point 3 leo, tujilaumu wenyewe.Makosa ya kizembe kama haya mwisho wa siku lawama tunapeleka kwa kipa
Pumzi imekata....?Ngoma ni wakutoka.
Sahihi...kiungo cha simba kimepotea Enock atachoka
Huu mpira unachukua nini?Hkn notice hapa yanga ya kuchukuwa kutoka kwa simba
Kwani unafikiri kocha atacheza ?Nimesikia jamaa ni kocha na nusu naimani mambo yatakaa sawa chini yake.
Hahhaha. Simba ni simba tuuMoigwe na muongezwe kabisa 🤠!