kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,364
- 10,103
Baleke leo viiipi..
Dah! Mwanamke mbabe sana wewe.We mzee tulia kwako acha kuzurura hahahah
hadi maudhiSimba tunakosa mabao
Ndiyo maana nimewaambia msimu huu hata robo fainali hamfiki kwa kikosi cha aina hii!Tumefungwa