Leo siku mbaya kwa MnyamaTulia...

Yanga wakiwa ugenini matokeo mpaka sasa ni 0-2!! Ndiyo uone tofauti sasa.Tulia wewe
Siku mbaya kwa MnyamaTulaumu nini kama nafasi ndio hizo tunapata lakini tunazipoteza wenyewe
Achapwe fimbo au lah, aende kukata mkonge kwenye mashamba ya mo.Baleke hii mechi tukifungwa awajibike
Yanga anaongoza 2-0 hadi Sasa Mnyama kachezea 1-0Dah,mnyama vipi Tena?
Mnyama amefungwaHii haitabadilisha kitu.
Simba tutavuka hii hatua
Nenda kwenye liuzi la vyura sasa ukakorome. Si mnaongoza?Yanga wakiwa ugenini matokeo mpaka sasa ni 0-2!! Ndiyo uone tofauti sasa.
Nimekaa paleeeeeAchapwe fimbo au lah, aende kukata mkonge kwenye mashamba ya mo.


