mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,256
- 3,987
Tumechezea wapi sasa? Tumeshambulia vzr Tumefungwa magoli ya kipumbavu tu.Safi sana hiyo ndio inatakiwa tupigwe tutie akili. Huwezi kupata chance unachezea
Tulia weweNdiyo nimewaambia msimu huu robo fainali hamfiki kwa kikosi cha aina hii. Waangalieni watani wenu wanavyocheza kwa kujiamina na kuelewana! Nyinyi mpira wenu ni papatu papatu tu.
PoleniTushalamba umeme hii, hadi sasa 2KvH
ZEGE limelala 1-0 Simba mtalia kilio gani leo?Goli la 2 naliona hapa
Tulia...
Simba kafungwa 1-0Nipo safarini,ngapi huko
soma ubaoNipo safarini,ngapi huko