G
guest-1787677467
Guest
Kipa mpya wa Simba toka MorrocoView attachment 2751432
Tapeli huyu
Kipa mpya wa Simba toka MorrocoView attachment 2751432
Tapeli huyu
😭😂😂😂😂😁Kipa mpya wa Simba toka Morroco
Mnaanza kutafuta ushindi wa mezani?hivi lile goli dynamo wamepiga mpira ukiwa nje, hawawezi kukata rufaa likafutwa?
Haaaa vikao virefu kama vya vikoba, any way Sasi shughuli imeisha na kikao tumefunguNyie mbwa si mna UZI wenu kule umedoda? Mnakuja kushobokea watu tupo ktk Vikao vyetu tunatathmin hawa Pawa Dainamo tuwafanyaje wakija Mjini Daslamu
Halafu hela tumuachie nani? Tupigwe tu ila 5.8B si kila mtu anaweza akapewa kirahisi hivyoSuper ligi tujitoe tu.
Kuna dalili za kupigwa kama ngoma