Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,667
- 70,302
Hapo safi sanaaMmerudisha sasa hapo vipi?
Hapo safi sanaaMmerudisha sasa hapo vipi?
Mapema tuHawa wajinga tutawakanda tu
We mzee tulia kwako acha kuzurura hahahahKwa mpira huu wa papatu papatu, mna nafasi finyu sana ya kufika robo fainali msimu huu. Hatua hii mnaweza kupita. Ila msitarajie makubwa kwenye hatua ya makundi.
Kwanini?Uzi wa Yanga wameufungia